Ndani ya Tanzania hakuna mtu aliyewahi kuingia bungeni na akawa mzalendo kama Zitto Zuberi Kabwe

Mzalendo!
-Alikubali ku bargain na makampuni ya madini alipokuwa mbunge kufuatia ukali alioonyesha,, baada ya mgawo akaficha makucha!

-Alidai kususia posho lakini akawa anapokea mshiko wa makampuni ya umma na wakurugenzi alivyoongoza kamati ya mahesabu ya umma!

-Alishangilia kukamatwa kwa ndege zetu na kaburu, na inasemakana ni miongoni mwa watz waliomshawishi kaburu akamate ndege zetu.

-Alishauri serikali inunue korosho Kama government intervention, na Rais alivyo tekeleza hilo akageuza kibao na kuimba kila siku kwamba serikali inafanya biashara ya korosho akijua kuna baadhi ya majuha atawaokota.

-Alishiriki katika machapisho ya kumchafua Rais na serikali kwa kupika uongo mwingi ili tu ambomoe.

-Alitumia muda mwingi kudanganya watanzania kwamba ndege alizonunua Rais ni used, nyingine hazifai kwa matumizi sababu zimegundulika kuwa na kasoro hatarishi, kumbe uongo mtupu.

-Alishiriki kueneza uzushi wa kupika, wa kipumbavu kwamba mheshimiwa Presidaa hatunaye!

Majungu yote hayo na uongo wa wazi, bado anajiona sawa kwa kutoomba msamaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…