Mimi leo nimefikiria nimegundua
Ndani ya uzalendo kuna imani kali.
Kuwa mzalendo sio rahisi kwasababu uzalendo umebebwa na imani kali ya mambo chanya.
Chukulia mfano mzalendo wetu Martin Ruther Jr. Imani aliyokuwa nayo huyu jamaa kwa Marekani sio mchezo.