PostGE2025 Ndani ya wiki 2 wameshatekwa watu maarufu 2 "MC Pilipili & Clemence Mwandambo", watanzania ujinga utaisha lini?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Sasa hivi kutekwa imekuwa kama kombolela tu.

MC pilipili kutekwa kapigwa na kuuwawa & Clemence Mwandambo kutekwa

Hakujawai kuwa na kauli madhubuti ya mamlaka dhidi ya watekaji, kila siku watu wanatekwa watu wanajifanya kutojali
 
Dont mix the two.

Mwandambo kakamatwa na yuko Polisi.
Mc Pilipili ameuliwa na maadui zake. Inawezekana kabisa sio Polisi.
Maana Mc alikuwa mwanaCCM mwenzao.

Matukio ya watu kuuliwa ni meng.
Wiki 3 nyuma Kuna jamaa angu tuliwah fanya biashara ya kuuziana gar mwaka jana mwanzon. Na biashara yake yeye ni udalali wa magar.
Amekutwa amefariki Gest aliyofikia Morogoro. Aliitwa akaone gar.

Kuuana sikuhizi kumezidi.
Kuna watu ukizinguana nao kwenye hela au mapenz kukutoa uhai kwao sio shida.
 
Shida ni kwa nini hatuoni hatua zikichukuliwa dhidi ya wauaji na hao watekaji.... maana yake kama mambo haya yataendelea hakuna mtu atakuwa salama hapa Tanzania
 
Waalifu kuget out of murder maana ake Vyombo vyetu vya usalama ni ng'aring'ari
 
Shida ni kwa nini hatuoni hatua zikichukuliwa dhidi ya wauaji na hao watekaji.... maana yake kama mambo haya yataendelea hakuna mtu atakuwa salama hapa Tanzania

Ni kweli unachosema.

Maana Hii ya kutokamatwa hata mtu mmoja kwenye ishu ya MC Pilipili. Ndio inafanya watu wafikirie waliofanya tukio ni wenzao.

Maana tushazoea wao ndio wana haki ya kuua na wasikamatwe wala kuulizwa.

Dah! Ni kweli Kwasasa hakuna MTz yuko salama. Maana wao wanaojiita usalama wana usalama wako na wanaweza kuamua muda wowote kuutoa uhai wako.
 
Dont mix the two.

Mwandambo kakamatwa na yuko Polisi.
Mc Pilipili ameuliwa na maadui zake. Inawezekana kabisa sio Polisi.
Maana Mc alikuwa mwanaCCM mwenzao.

Matukio ya watu kuuliwa ni meng.
Wiki 3 nyuma Kuna jamaa angu tuliwah fanya biashara ya kuuziana gar mwaka jana mwanzon. Na biashara yake yeye ni udalali wa magar.
Amekutwa amefariki Gest aliyofikia Morogoro. Aliitwa akaone gar.

Kuuana sikuhizi kumezidi.
Kuna watu ukizinguana nao kwenye hela au mapenz kukutoa uhai kwao sio shida.
Taarifa Iko wapi kwamba mwanadambo kakamatwa na polisi na hajatekwa?
Mchungaji malisa pia inadaiwa katekwa unafahamu Hilo?
 
Kila mtu sasahivi anajua watu wasiojulikana ni polisi. (Kitengo maalumu).

Mchungaj Malisa na Mwalim Mwandambo. j3 utasikia Polisi wanatoa tamko kuwa wameshikiliwa kwenye vituo vya polisi.
Sasahiv wako busy wanatafuta ushahid ndan ya sim zao ili wajue wanawapa kesi gan ambayo wamepata uthibitisho.

Its a shame kuwa kuna tume 2 zimeundwa kuchunguza haki gan Raia wamekosa had kuandamana na ya maridhiano alaf huku bado unaminya uhuru wa watu kuongea na unawakamata kamata.

Dah! Hii nchi imefika pabaya sana.
 
Dont mix the two.

Mwandambo kakamatwa na yuko Polisi.
Mc Pilipili ameuliwa na maadui zake. Inawezekana kabisa sio Polisi.
Maana Mc alikuwa mwanaCCM mwenzao.

Matukio ya watu kuuliwa ni meng.
Wiki 3 nyuma Kuna jamaa angu tuliwah fanya biashara ya kuuziana gar mwaka jana mwanzon. Na biashara yake yeye ni udalali wa magar.
Amekutwa amefariki Gest aliyofikia Morogoro. Aliitwa akaone gar.

Kuuana sikuhizi kumezidi.
Kuna watu ukizinguana nao kwenye hela au mapenz kukutoa uhai kwao sio shida.
Ike sheria mpya ya usalama wa taifa ndio imeleta yote haya, na lengo la sheria ile ilikuwa ni kuhalalisha huu utekaji, baada ya Magufuli kutumia mbinu ya wasiojulikana bila sheria rasmi. Ukitaka kujua huu utekaji wote una baraka za serekali, jaribu kutumia silaha mahali kama polisi hawana taarifa, uone jinsi msako utakavyokuwa mkali eneo la tukio. Lakini kwa hawa ambao polisi wana taarifa nao huwezi kuona msako wowote baada ya tukio.
 
Kila mtu sasahivi anajua watu wasiojulikana ni polisi. (Kitengo maalumu).

Mchungaj Malisa na Mwalim Mwandambo. j3 utasikia Polisi wanatoa tamko kuwa wameshikiliwa kwenye vituo vya polisi.
Sasahiv wako busy wanatafuta ushahid ndan ya sim zao ili wajue wanawapa kesi gan ambayo wamepata uthibitisho.

Its a shame kuwa kuna tume 2 zimeundwa kuchunguza haki gan Raia wamekosa had kuandamana na ya maridhiano alaf huku bado unaminya uhuru wa watu kuongea na unawakamata kamata.

Dah! Hii nchi imefika pabaya sana.
Kwa nini usitumike utaratibu wa kuchukua watu kama zamani, kwa nini iwe kutekana? Mbona kama jeshi la polisi linatukosea sana watanzania? Wanauchukulia uhai wetu for granted kiasi gani?
 
Dont mix the two.

Mwandambo kakamatwa na yuko Polisi.
Mc Pilipili ameuliwa na maadui zake. Inawezekana kabisa sio Polisi.
Maana Mc alikuwa mwanaCCM mwenzao.

Matukio ya watu kuuliwa ni meng.
Wiki 3 nyuma Kuna jamaa angu tuliwah fanya biashara ya kuuziana gar mwaka jana mwanzon. Na biashara yake yeye ni udalali wa magar.
Amekutwa amefariki Gest aliyofikia Morogoro. Aliitwa akaone gar.

Kuuana sikuhizi kumezidi.
Kuna watu ukizinguana nao kwenye hela au mapenz kukutoa uhai kwao sio shida.
Tatizo polisi hawana majibu. Polepole, mzee kibao n.k hakuna majibu. Huyo mc pilipili ripoti ya mwisho ya polisi hao waliomfanyia hivyo hawajulikani na hata sababu haijasemwa. Matukio ya maauji hata baina ya wananchi kwa wananchi lazima yawepo, lakini sasa polisi ije na majibu na tuine wahusika wanashughulikiwa kisheria
 
Dont mix the two.

Mwandambo kakamatwa na yuko Polisi.
Mc Pilipili ameuliwa na maadui zake. Inawezekana kabisa sio Polisi.
Maana Mc alikuwa mwanaCCM mwenzao.

Matukio ya watu kuuliwa ni meng.
Wiki 3 nyuma Kuna jamaa angu tuliwah fanya biashara ya kuuziana gar mwaka jana mwanzon. Na biashara yake yeye ni udalali wa magar.
Amekutwa amefariki Gest aliyofikia Morogoro. Aliitwa akaone gar.

Kuuana sikuhizi kumezidi.
Kuna watu ukizinguana nao kwenye hela au mapenz kukutoa uhai kwao sio shida.
na Malisa?
 
Sasa hivi kutekwa imekuwa kama kombolela tu.

MC pilipili kutekwa kapigwa na kuuwawa & Clemence Mwandambo kutekwa

Hakujawai kuwa na kauli madhubuti ya mamlaka dhidi ya watekaji, kila siku watu wanatekwa watu wanajifanya kutojali
Wewe muongo.
 
POLICCM wa Mbeya wamekiri kuwa wao ndiyo wamemteka Mwandambo
 
Back
Top Bottom