Ndani ya wiki 3 zijazo naliona anguko la Manara

pamba boy

Senior Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
181
Reaction score
266
iwapo mechi ya ccl afrika dhidi ya Nigeria Yanga watapoteza na kutoka kwenye mashindano na kisha mechi ya ngao ya jamii Yanga afungwe na simba huu ndiyo utakuwa mwisho wa haji manara !wana Yanga watatoa makucha yao dhidi ya GSM na Manara atadhihakiwa sana! Pona yake Yanga washinde mechi zote mbili kitu ambacho ni kigumu bila Wacongo
 
Huyo Haji hadi aanguke, Kweni anacheza namba ipi uwanjani?.

Yanga inaweza kutolewa CAF, pia inaweza kufungwa na Simba bila hata ya uwepo wa Haji. Kazi yake ni kuongea tu na tayari anatimiza majukumu yake.
 
GSM wamefanya usajili mzuri na bora kabisa, kikubwa kunahitajika muda na uvumilivu wa kupata matokeo. Mpira siyo biashara ya vitumbua kuwa unapata matokeo siku hiyo hiyo.
 
ₕₐⱼᵢ ₘₐₙₐᵣₐ ₑₙdₑₗₑₐ ₖᵤwₐₖₑᵣₐₐ
 
Ila hizi siku mbili mahojiano ya Haji Manara anaonekana kabisa hayuko sawa! Hata kule kumtaja Mwamedi na Simba kapunguza.
Akiongeza dozi ya dawa kwa Boss wenu mnaongea sana, na alipunguza dozi na penyewe mnaongea

Tuambieni msimamo wenu ili dozi ambayo tutawapa iwe sawa na mahitaji yenu
 
Yaan Kolo fc mnalala mnamuwaza Manara.Mnavyoteseka ndo tulivyoteseka kwa mda wote aliokuwa anapanua mdomo wake.
 
JF idumu sana
 
WWakongo waje tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…