iwapo mechi ya ccl afrika dhidi ya Nigeria Yanga watapoteza na kutoka kwenye mashindano na kisha mechi ya ngao ya jamii Yanga afungwe na simba huu ndiyo utakuwa mwisho wa haji manara !wana Yanga watatoa makucha yao dhidi ya GSM na Manara atadhihakiwa sana! Pona yake Yanga washinde mechi zote mbili kitu ambacho ni kigumu bila Wacongo