Ndani ya wiki 3 zijazo naliona anguko la Manara

Ndani ya wiki 3 zijazo naliona anguko la Manara

Huyo Haji hadi aanguke, Kweni anacheza namba ipi uwanjani?.

Yanga inaweza kutolewa CAF, pia inaweza kufungwa na Simba bila hata ya uwepo wa Haji. Kazi yake ni kuongea tu na tayari anatimiza majukumu yake.
Utaelewa tu muda ukifika saiv bado huwezi elewa
 
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom