Tatizo unekuwa na upande. Kwahio taarifa yako imepoteza uhalali wa kufuatuliwa hapa jukwaani. Yani umeonesha kuwa wewe ni timu Kiba...kwahio huwezi kumuongelea kwa mazuri Diamond.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha!Hizi pia ni dalili za muziki kuwa mbovu, maana ndani ya wiki mbili tu, tayari muziki wao umepotea na Umekuwa ZILIPENDWA kama lilivyo jina na maudhui ya wimbo
Aise Wasafi muda si muda itakuwa wachafu na hatimaye,....… ZILIPENDWA
Na WCB pia!Mawigi wanavaa mademu zetu!!!
DJ sepetu
Hahaha
Ukisema hivyo unakosea,maana mulisema jamaa ametaka kiti,ninyi mukampa kitanda na akalala kabisa, sasa Leo tena munaanza kutoa visingizio kuwa hamupati promo ndio maana nyimbo ya zilipendwa haifanyi vizuri.hahahaZilipendwa inawapa pressure sNa sijui kw nn maana ni nyimbo ambayo haina promo haipigwi radion lkn badopressure juu kwa nn msijiamin kuwa nyie ndo mme take over.....au ndo dalili za kuchok kukesha youtube.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina promo? Una uhakika? Fuatilia vzr kabla hujakurupuka kuandika.Zilipendwa inawapa pressure sNa sijui kw nn maana ni nyimbo ambayo haina promo haipigwi radion lkn badopressure juu kwa nn msijiamin kuwa nyie ndo mme take over.....au ndo dalili za kuchok kukesha youtube.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna lolote, kutumika kutakufanya use maskini mpaka kifo chako.Mimi sina timu mkuu