Ndani ya Wiki mbili, zilipendwa imekuwa Zilipendwa

Ndani ya Wiki mbili, zilipendwa imekuwa Zilipendwa

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Hizi pia ni dalili za muziki kuwa mbovu, maana ndani ya wiki mbili tu, tayari muziki wao umepotea na Umekuwa ZILIPENDWA kama lilivyo jina na maudhui ya wimbo

Aise Wasafi muda si muda itakuwa wachafu na hatimaye,....… ZILIPENDWA
 
Kalale ndugu....ulizokunywa zinatosha..
IMG_20170904_195857_624.jpg
 
Hahahaha daaah

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Hizi pia ni dalili za muziki kuwa mbovu, maana ndani ya wiki mbili tu, tayari muziki wao umepotea na Umekuwa ZILIPENDWA kama lilivyo jina na maudhui ya wimbo

Aise Wasafi muda si muda itakuwa wachafu na hatimaye,....… ZILIPENDWA
Hahahaha!
 
Zilipendwa inawapa pressure sNa sijui kw nn maana ni nyimbo ambayo haina promo haipigwi radion lkn badopressure juu kwa nn msijiamin kuwa nyie ndo mme take over.....au ndo dalili za kuchok kukesha youtube.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema hivyo unakosea,maana mulisema jamaa ametaka kiti,ninyi mukampa kitanda na akalala kabisa, sasa Leo tena munaanza kutoa visingizio kuwa hamupati promo ndio maana nyimbo ya zilipendwa haifanyi vizuri.hahaha
 
Back
Top Bottom