Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
unateseka ukiwa wapi???1. Huyu dogo hana kipaji zaidi ya kufosi. Na hivi hamna shule mule basi unaboa Tu.
2. Hapa kati tena umejichanganya kwa kurumbembe ndo limekupoteza Mazima.
3. Rudi Kigoma tulime michikichi (mawese).
Hicho unachokibeza ndio kinachompa kula. Mind your own business mkuuAwali nitambue kipaji cha Braza K toka Kigoma,
1. Ndaro hana kipaji zaidi ya kufosi. Na hivi hamna shule mule basi unaboa Tu.
2. Hapa kati tena umejichanganya kwa kurumbembe ndo limekupoteza Mazima.
3. Rudi Kigoma tulime michikichi (mawese).
🤣🤣🤣Ukitaka kujua wa Tz wengi bolt zimelegea kichwani na yule jamaa anaejiita Mkaliwenu nae eti ni comedian
Tunawahurumia🤣🤣Mkuu ni bora abaki kuwa msanii wa vichekesho kuliko awe kibaka, Mwizi, Jambazi, Shoga, Mvuta unga. Sio yeye tu wasio na vipaji kwenye vichekesho ni wengi mno, ni vile wabongo tunawahurumia ili tu wasijiingize kwenye mambo mabaya.