Ndaro unafosi fani, huna kipaji

Ndaro unafosi fani, huna kipaji

Awali nitambue kipaji cha Braza K toka Kigoma,

1. Ndaro hana kipaji zaidi ya kufosi. Na hivi hamna shule mule basi unaboa Tu.

2. Hapa kati tena umejichanganya kwa kurumbembe ndo limekupoteza Mazima.

3. Rudi Kigoma tulime michikichi (mawese).
umri wako tafadhali
 
Ila BABU MKOMBE anaitendea haki kabisa Comedy. Angekuwepo pia KAFUKU KAHURANANGA mambo yangekuwa 🔥🔥 kweli kweli.
Babu mkombe wa kulichombe mpenda pombe mbele ya wapambe ukimkuta anakunywa pombe usimuombe msubiri nyumbani akupe embe.

Kafuku kahurananga, itagata kinana, okech okech na wenzao. Huwaoni, unasikia tu maneno lakini unainjoi.

Siku hizi comedy ni kuongea ama kufanya matusi huku ukijichekesha ndio COMEDY yenyewe. Hovyo sana.
 
Kweli kabisa Kiongozi. Yaani walikuwa wanaburudisha sana wale jamaa. Nilikuwa nafurahia sana kusikiliza radio RFA siku ya Jumamosi.
 
Yule Ruben mhehe sijui mbena, anajua kufanya comedy bila kujilazimisha tatizo yupo km anapakuliwa
 
kila kitu ni kuFORCE, zubaa ulale njaa. acha wivu kwa mTanzania mwenzetu anaetafuta RIZIKI yake kwa njia HALALI. kama wewe humpendi kuna wengine wanamkubali.
 
Awali nitambue kipaji cha Braza K toka Kigoma,

1. Ndaro hana kipaji zaidi ya kufosi. Na hivi hamna shule mule basi unaboa Tu.

2. Hapa kati tena umejichanganya kwa kurumbembe ndo limekupoteza Mazima.

3. Rudi Kigoma tulime michikichi (mawese).
Hapo #3 usiwe unawaambia watu wako wa karbu kama mtoto,rafiki,ndugu na wafanyakaz wenzako.Pale wanapo fight kufanikisha ndoto zao ,kama huna mbinu mbadala ya kuwasaidia bora ujinyamanzie.Maana yatakukuta ya madam Rita na Master J kwa Jomba Nchumali wa bongo uhondo mtupu.
 
Awali nitambue kipaji cha Braza K toka Kigoma,

1. Ndaro hana kipaji zaidi ya kufosi. Na hivi hamna shule mule basi unaboa Tu.

2. Hapa kati tena umejichanganya kwa kurumbembe ndo limekupoteza Mazima.

3. Rudi Kigoma tulime michikichi (mawese).
Huyu Mjita kumbe katokea KG!
Ni kama Mngoni Brother K katokea KG.
 
Back
Top Bottom