Melubo Letema JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 431 Reaction score 433 Dec 18, 2025 #1 Makamu wa rais RT asimamishwa uongozi mara moja kupisha uchunguzi wa ubadhifu wa fedha za shirikisho hilo. Dola elfu 55 (55,000) za kimarekani. Jamaa amekula zaidi milioni 130 zilizotumwa na shirikisho la riadha la dunia (WA).
Makamu wa rais RT asimamishwa uongozi mara moja kupisha uchunguzi wa ubadhifu wa fedha za shirikisho hilo. Dola elfu 55 (55,000) za kimarekani. Jamaa amekula zaidi milioni 130 zilizotumwa na shirikisho la riadha la dunia (WA).
KOROSHO BOMBA Senior Member Joined May 11, 2024 Posts 186 Reaction score 313 Dec 18, 2025 #2 Badili kichwa Cha habari Sema Dola elf 55 Mwanzo nilishtuka kuona mtu anashutumiwa kula Dola 55 ambayo ni sawa na laki Moja na ushee.
Badili kichwa Cha habari Sema Dola elf 55 Mwanzo nilishtuka kuona mtu anashutumiwa kula Dola 55 ambayo ni sawa na laki Moja na ushee.
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Dec 18, 2025 #3 Mkiandika mtulie ona sasa umekosea kuandika heading dollar 55 au dollar 55,000?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 18, 2025 #4 Aiseeeeeee
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 18, 2025 #5 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw