Tetesi: Ndege 100 zatumika kufumua ikulu ya Iran kwa mabomu 250, ilikuwa jengo sugu tena kubwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Mipango yote ya nchi ilikua inaratibiwa hapo, jengo ambalo kwa ukubwa lilikua limechukua barabara yote, Iran inarudishwa nyuma miaka mingi sana.
Ndege za Israel zimeteka anga yote, maeneo yote nyeti hakuna itasazwa.

=====
1772543926925.png
The Israeli military said on Tuesday that it carried out airstrikes on the Iranian regime's "leadership complex" during the night, including the presidential office and the Supreme National Security Council headquarters.

Soma Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu: Vita na Iran haitadumu kwa miaka, inaweza kufanyiwa maamuzi

The military said the attack involved around 100 fighter jets, which dropped more than 250 bombs on areas of Tehran. "The leadership complex of the terror regime is one of the most secure assets in Iran and spans many streets in the heart of Tehran," the Israeli Defense Forces (IDF) said, according to the Times of Israel.
 
Mipango yote ya nchi ilikua inaratibiwa hapo, jengo ambalo kwa ukubwa lilikua limechukua barabara yote, Iran inarudishwa nyuma miaka mingi sana.......
Ndege za Israel zimeteka anga yote, maeneo yote nyeti hakuna itasazwa....

The Israeli military said on Tuesday that it carried out airstrikes on the Iranian regime's "leadership complex" during the night, including the presidential office and the Supreme National Security Council headquarters.

The military said the attack involved around 100 fighter jets, which dropped more than 250 bombs on areas of Tehran. "The leadership complex of the terror regime is one of the most secure assets in Iran and spans many streets in the heart of Tehran," the Israeli Defense Forces (IDF) said, according to the Times of Israel.

Pamoja na kwamba Iran imepigwa sana nasubiri pia kuona clip za upande wa pili kwani; Mwaka jana Israel ilivyo ibeep Irani ika ambulia kipigo cha mbwa koko, hadi Marekani ikaja kuokoa; Mashabiki wetu mbumbu walikuwa wanaendelea kurusha clip kuwa, Israel imesambaratisha Iran
 
Ndicho mlikua mnaaminishana huko makobaz eti Israel ilipigwa, ilhali sote tulishuhudia kilichofanywa Iran, kikubwa Iran hufanya ni kuelekeza makombora yao kwenye mitaa ya uraiani, ila Israel hupiga vyombo nyeti vya Iran.
Mpaka sasa waliokufa Israel ni wachache sana huku Iran ikihesabu mizoga/maiti ya wanajeshi wake.
 
WAISRAEL WALIO MUUA YESU, NAONA DAMU YA YESU INAWAANDAMA.....WANAENDELEA KUUA KILA KUKICHA!!!
 
Pamoja na kwamba Iran imepigwa sana nasubiri pia kuona clip za upande wa pili kwani; Mwaka jana Israel ilivyo ibeep Irani ika ambulia kipigo cha mbwa koko, hadi Marekani ikaja kuokoa; Mashabiki wetu mbumbu walikuwa wanaendelea kurusha clip kuwa, Israel imesambaratisha Iran
Hii Leo ndo hashtag yako?
 
Hii Leo ndo hashtag yako?
Hashtag yangu ni kuwa....
WAISRAEL WALIMUUA YESU, SASA ILE DAMU YA YESU INAZIDI KUWAANDAMA, KILA KUKICHA WANAWAZIA KUUA!
Wanapiga mabomu hadi kwenye Chekechea, Ushetani mtupu!!!
 
Kwa hiyo Yesu asingekufa unabii ungetimiaje? Acha kuwaza kupitia masaburi!
 
Back
Top Bottom