Kwani zilishawahi kuruka zaidi ya ile iliyotoroshewa Uholanzi?Msigwa ameongeza kuwa tatizo hilo limezikumbuka kampuni nyingi za Ndege duniani na ni jambo la kawaida kutokea kwenye masuala ya kiufundi.
Ndio maana Serekali hairuhusiwi kufanya biashara, Sasa msigwa wapi na wapi shirika la ummaMsemaji wa Serikali angejikita kwenye siasa huku kwenye mambo ya Taaluma wangesema Ma Eng wa ATCL sio kuja na majibu wamesema tupaki basi kama vile ni mradi wa daladala.
Hili ni kweli na linatokea tu mara kwa mara. Tatizo ni huyo anayetoa taarifa. Haaminiki hivyo watu wengi hawataamini japo linaweza kuwa kweli. Hapa ndipo tunapoona umuhimu wa serikali kujenga trust kwa wananchi wake. Nashauri mfumo wa kutoa habari wa serikali ufumuliwe, halafu atafutwe mtu mpya aanze upya na asiwe na porojo kama huyu jamaa.Hii inaitwa Grounding, na ni kawaida endapo ndege moja ya aina hiyo popote duniani inapopata tatizo na wakagundua tatizo la kimfumo, mtengenezaji huagiza ndege zote duniani alizotengeneza za aina hiyo zisiruke hadi atakapozifanyia maboresho
Ivi mnadhani hizo taarifa zinatoka kwa bahati mbaya ama kwa mtoataarifa kutokuwa na weledi??.Hili ni kweli na linatokea tu mara kwa mara. Tatizo ni huyo anayetoa taarifa. Haaminiki hivyo watu wengi hawataamini japo linaweza kuwa kweli. Hapa ndipo tunapoona umuhimu wa serikali kujenga trust kwa wananchi wake. Nashauri mfumo wa kutoa habari wa serikali ufumuliwe, halafu atafutwe mtu mpya aanze upya na asiwe na porojo kama huyu jamaa.
Anatukosea sana kuongelea vitu asivyovijua huyo jamaa...Ndio maana Serekali hairuhusiwi kufanya biashara, Sasa msigwa wapi na wapi shirika la umma
hahaaaaa jiwe oyeeeeeeeeeeeeeeeee π πTulivyo na akili kijiko tumeagiza nyingine TANO