Kweli kabisaHii inaitwa Grounding, na ni kawaida endapo ndege moja ya aina hiyo popote duniani inapopata tatizo na wakagundua tatizo la kimfumo, mtengenezaji huagiza ndege zote duniani alizotengeneza za aina hiyo zisiruke hadi atakapozifanyia maboresho
Wazee wa justification!Mmm mbona tukipata shida tunasingizia ni shida ya wengi?
Hizo ndege zitakaa hapo kwa muda mrefu au matengenezo kama yale ya kivuko
Sent from my 2201117TG using JamiiForums mobile app
Imeisha hiyo, maskrepa yamepaki na kuwa makazi ya popo.Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kusimama kwa ndege hizo za Shirika la Ndege (ATCL), aina ya Airbus a220-300 kumetokana na hitilafu ya kiufundi na ambapo watengenezaji waliagiza zisiruke...
Midege mibovu imelala
Tunaendesha biashara ya ndege kisiasa eeehhh!!? Tutaona!Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kusimama kwa ndege hizo za Shirika la Ndege (ATCL), aina ya Airbus a220-300 kumetokana na hitilafu ya kiufundi na ambapo watengenezaji waliagiza zisiruke.
Amesema Serikali inaendelea na mazungumzo na watengenezaji kuhusu matengenezo ya Ndege hizo ili zikae sawa na kuendelea na shughuli za usafirishaji.
Msigwa ameongeza kuwa tatizo hilo limezikumbuka kampuni nyingi za Ndege duniani na ni jambo la kawaida kutokea kwenye masuala ya kiufundi.
serikali inaagiza vitu vingi ambavyo ni mitumba kasoro magari tu,hata mabehewa ya treni yenyewe ni mitumba halafu kwa nn wanaagiza ngdege bila kuwaandaa mafundi?Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kusimama kwa ndege hizo za Shirika la Ndege (ATCL), aina ya Airbus a220-300 kumetokana na hitilafu ya kiufundi na ambapo watengenezaji waliagiza zisiruke.
Amesema Serikali inaendelea na mazungumzo na watengenezaji kuhusu matengenezo ya Ndege hizo ili zikae sawa na kuendelea na shughuli za usafirishaji.
Msigwa ameongeza kuwa tatizo hilo limezikumbuka kampuni nyingi za Ndege duniani na ni jambo la kawaida kutokea kwenye masuala ya kiufundi.