Ndege aina ya Bombardier Q400 kuanza safari zake za kuruka na kutua katika Uwanja wa ndege Songea

Ndege aina ya Bombardier Q400 kuanza safari zake za kuruka na kutua katika Uwanja wa ndege Songea

yaaani nyie madogo mnafaa mrudi tu shule, mnatia aibu! naimagine ningekua najuana na wewe alafu ukaongea huu upuuzi nakukana

Ndege inaenda kubeba ndugu zetu China ikirudi inapaki, inasubiri itokee dharula tena ili ikaokoe.
Kama huu ni uwekezaji au uzalendo basi sitaki kuwa mmoja wao.
 
Ndege inaenda kubeba ndugu zetu China ikirudi inapaki, inasubiri itokee dharula tena ili ikaokoe.
Kama huu ni uwekezaji au uzalendo basi sitaki kuwa mmoja wao.

ebu jaribu ata kutafuta maarifa basi maaana unaboa ata kuitwa mtanzania, tafuta nchi ingine
 
Bombardier Q400 ni ndege au ni viberenge?Watanzania acheni ushamba!!!
ndio mnataka mshindane na Kenya?

Mkuu uko Dunia gani? Jambo Jet - A subsidiary company ya Kenya Airways ; hizo ndio ndege wanatumia kwa local na regional routes. Ingia www.jambojet.com uone mkuu. Nimekuwekea picha hapo chini. Usikariri Mkuu, elewa mambo.

1596714877321.png
 
Bombardier Q400 ni ndege au ni viberenge?Watanzania acheni ushamba!!!
ndio mnataka mshindane na Kenya?
Acha mazereu kijana. Ni ndege ribust sana hizi. Mashirika ya Rwandair na Ethiopian airlines wanazidi mitaji na wanatumia ndege hizi, Sisi ni nani wa kuziacha? Mpaka Ulaya, mashirika yanatumia ndege hizi, hawa kwa maeneo yenye shorter run ways
 
Bombardier Q400 ni ndege au ni viberenge?Watanzania acheni ushamba!!!
ndio mnataka mshindane na Kenya?
Duh chief we inaonekana shulen ulikuwa mbishi sana
Iv ukiwekewa A. Bombadier Q400 B. treni ukaulizwa ipi kati ya izo ni ndege utajaza jibu gani ? Embu jibu tukupime kama ni mwenzetu au mwezi mchanga
 
Songea kule tuletewe SGR tu tokea Mtwara via masasi tunduru, songea mjini, mbinga town, Nyasa land , itakuwa ni kuua kabisa biashara ya mabasi
 
That is good news to some of us who are flagile to traveling many hours. I have been to songea severally and I exactly recall how persevering you must be interms of seating. I appreciate the idea given to having a flight. How sweet are my journeys now to eating such flavourly cattle beef and the meeting of nice soft spoken people all together. Come air Tanzania, come make Tanzania great again.
 
Back
Top Bottom