Yako kama mafuta ya taa lakini wanayaongezea vitu flani flani..Salute,
Kuna kitu nakiwazaga sana lakini sipati majibu.
Ndege inatumia mafuta gani ?, nilisikia wengine wakisema zinatumia mafuta ya taa. Kwahiyo jibu kamili sijapata.
Wenye kujua watufahamishe.