Ndege gani Cheap (Dar -Cape Town)?

Ndege gani Cheap (Dar -Cape Town)?

JF imekuwa sio credible source ya maarifa na experience. Kuna tatizo gani mtu kukusanya taarifa kutoka humu kabla hajaenda katika mitandao mingine?

Mkuu, enjoy your trip and kindly share gharama na itineraries baada ya trip yako.

Asante.
 
Capetown ni mji wa gharama sasa kama flight ticket tu ushaanza kusumbua watu wakusaidie kutafuta vp ukifika huko utayaweza...au ndio unataka kulala backpackers za 80rand nini🤣..capetown ukienda jipange ukalale mitaa ya seapoint au camps bay uone sea view usiku unajisogeza waterfront kupata diner then unaingia long street kuruka debe na kung'oa pisi za kicolored lakini usilielie njaa.
 
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05
Kenya airways
 
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05
Unataka kwenda kupumzika au unataka kwenda kuongeza maumivu?
 
Back
Top Bottom