Ndege gani Cheap (Dar -Cape Town)?

Ndege gani Cheap (Dar -Cape Town)?

Nenda na ATCL hadi Harare Kwa dollar 280 hivi then pale utachukua flight nyingine hadi South Africa Kwa dollar 175 hivi

Kurudi pia utatumia njia hiyo hiyo hivyo kujikuta ukitumia nauli Chini ya dollar 800 kwenda na kurudi


Safari njema kwenye utafutaji wa maisha 🤝
Asante mkuu kwa mchango wako
 
Back
Top Bottom