Ndege hatari 100 za IDF zafanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha maeneo 120 yaliyo ngome kuu za Hezbollah Lebanon kusini

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Siku ya leo Oktoba 7 ndege za Jeshi la IDF zaidi ya 100 zimefanya mashambuluzi makubwa zikilenga shabaha na kusambaratisha maeneo takribani 120 yaliyo ngome kuu za magaidi ya Hezbollah yaliyojichimbia Kusini mwa Lebanon

Shambulizi hilo la hatari lilitumia takribani saa moja tu kabla ya ndege hizo kugeuza kurudi mapumzikoni

Idadi ya wahanga itajulikana huko mbeleni ila kwa leo toshe kusema IDF imeamua

Mungu wabariki watoto 12 wa Yakobo mwana wa Isaka mwana wa Ibrahimu

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

October 7, 2024

IDF says 100 fighter jets attacked over 120 Hezbollah targets in south Lebanon today

By Emanuel Fabian Follow
Today, 6:38 pm

This picture taken from the southern city of Tyre shows smoke billowing from the site of an Israeli airstrike in a southern Lebanese village, on October 7, 2024 (KAWNAT HAJU / AFP)

Some 100 Israeli fighter jets carried out a large wave of airstrikes against more than 120 Hezbollah targets in southern Lebanon earlier today, the IDF says.

The strikes, which lasted an hour, hit Hezbollah sites belonging to the terror group’s Southern Front, elite Radwan Force, rocket and missile division, and intelligence division, according to the military.
 
Mungu

Mungu wabariki watoto wa Yakobo

Ibariki Lebanon
 
Tuendelee kuiombea Israel..

israel_gay_pride1_wide-e9db615c11cfb1785dced7dcf4e6f6203718749f.jpg
 
Hamna jipya hapo, ungefuatilia vita ya Hezbollah na Israel 2006, ungedhani Lebanon itafutika na kubaki jangwa kwa jinsi IDF alishambulia.

Israel aache ubabe wa kipuuzi ME, aishi vyema na jirani zake hilo ndilo suluhisho.
 
Walianza na Gaza, Hezbollah wao walikuwa wakipiga huku Jews wakiwaangalia tu kama hawaoni

Wamesafisha Gaza na sasa zamu ya chimbuko la magaidi huko Lebanon, wakati huo huo kama ilivyokuwa kwa Hezbollah kuishambulia Israel wakati ikipiga magaidi ya Gaza, ndivyo anavyofanya Irani

Sasa watoto wa Yakobo wakitoka kusafisha magaidi ya Hezbollah, burudani yenyewe itafuatia

Mzaa magaidi itakuwa zamu yake, huko itakuwa ni Jeshi kwa Jeshi

Siyo huku ambapo wana wa Yakobo inawapa shida kidogo, kupambana na wasio na sare na wenye kujificha popote hata mahosipitalini
 
Jeshi la Lebanon liko upande wa hezibollah au Israel au Neutral? Serikali ya Kwanini iko upande wa Israel, wanajua Hezibolah ikiisha Lebanoni itachanua, pia wasuni wa Lebano na wakristo watafurahi kwa sababu Hezibollah imekuwa mwiba kwao.
 
Walianza na Gaza, Hezbollah wao walikuwa wakipiga huku Jews wakiwaangalia tu kama hawaoni

Wamesafisha Gaza na sasa zamu ya chimbuko la magaidi huko Lebanon, wakati huo huo kama ilivyokuwa kwa Hezbollah kuishambulia Israel wakati ikipiga magaidi ya Gaza, ndivyo anavyofanya Irani

Sasa watoto wa Yakobo wakitoka kusafisha magaidi ya Hezbollah, burudani yenyewe itafuatia

Mzaa magaidi itakuwa zamu yake, huko itakuwa ni Jeshi kwa Jeshi

Siyo huku ambapo wana wa Yakobo inawapa shida kidogo, kupambana na wasio na sare na wenye kujificha popote hata mahosipitalini
hao zionist hawana uhusiano na wana wa israel.
hao ni wazungu pure
 
Wadau hamjamboni nyote?

Siku ya leo Oktoba 7 ndege za Jeshi la IDF zaidi ya 100 zimefanya mashambuluzi makubwa zikilenga shabaha na kusambaratisha maeneo takribani 120 yaliyo ngome kuu za magaidi ya Hezbollah yaliyojichimbia Kusini mwa Lebanon

Shambulizi hilo la hatari lilitumia takribani saa moja tu kabla ya ndege hizo kugeuza kurudi mapumzikoni

Idadi ya wahanga itajulikana huko mbeleni ila kwa leo toshe kusema IDF imeamua

Mungu wabariki watoto 12 wa Yakobo mwana wa Isaka mwana wa Ibrahimu

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

October 7, 2024

IDF says 100 fighter jets attacked over 120 Hezbollah targets in south Lebanon today

By Emanuel Fabian Follow
Today, 6:38 pm

This picture taken from the southern city of Tyre shows smoke billowing from the site of an Israeli airstrike in a southern Lebanese village, on October 7, 2024 (KAWNAT HAJU / AFP)

Some 100 Israeli fighter jets carried out a large wave of airstrikes against more than 120 Hezbollah targets in southern Lebanon earlier today, the IDF says.

The strikes, which lasted an hour, hit Hezbollah sites belonging to the terror group’s Southern Front, elite Radwan Force, rocket and missile division, and intelligence division, according to the military.
Ayatollah kitu Netanyahu anamfanyia atalaani mpaka kaburini huyu mzee anaenda kufa kibaya sana. Hivi unaweza kuwamini kuna very high ranking general wamepotezwa na Israel na hayo majamaa yana siri za taifa.. yaani kama leo usikie Mabeho amepotea nahatumuoni tena...
 
Umekalibia kutekwa sasa et mfano usikie leo mabeyo kafanyaje vile
 
Back
Top Bottom