Ndege hatari 100 za IDF zafanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha maeneo 120 yaliyo ngome kuu za Hezbollah Lebanon kusini

Ndege hatari 100 za IDF zafanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha maeneo 120 yaliyo ngome kuu za Hezbollah Lebanon kusini

Hakuna Yahudi ataishi kwa amani ndani ya Middle East. Hivi vita wanavyovichokoza ndio vitasababisha anguko lao. Soon mataifa yote ya kiarabu yataamka na kutengeneza pande mbili...either uwe na wayahudi au uwe na Waislam.

Huu ni mwanzo wa vita vingi vidogo vidogo kabla ya kuja Malhama al kubra (Vita kubwa na ya mwisho ) hapa duniani.

Mtume Muhammad (s a.w) alishaeleza haya kwa undani kabisa na kukusanyika kwa mayahudi katika ardhi ya palestina hakujaja kwa bahati mbaya bali ni mpango wa Mungu katika kukifuta kizazi chote cha Mayahudi.

Ni suala la muda watu watakuja kuelewa hivi vita
Nanukuu:
"Hakuna Yahudi ataishi kwa amani ndani ya Middle East. Hivi vita wanavyovichokoza ndio vitasababisha anguko lao. Soon mataifa yote ya kiarabu yataamka na kutengeneza pande mbili...either uwe na wayahudi au uwe na Waislam".
Mkuu; Hapo kuna tatizo -TATIZO kubwa unapochanganya siasa na dini. Israeli (Myahudi) hakuna mahali popote aliwahi kusema vita yake dhidi ya HAMAS na Hezbollah ni vita dhidi ya Waislam. Ila baadhi ya Makundi ya kiislamu esp. yale yanayofadhiliwa na Iran na yenye kitengo cha kijeshi ndani yake, yanawarubuni baadhi ya nchi huru za mataifa ya Kiarabu kwamba Myahudi (Israel) anapingana (Israeli is against Islamic belief) dhidi ya Imani ya Kiislam jambo ambalo ni uzushi na ni uongo. Kwa bahati mbaya sana, yale mataifa ya Kiarabu yaliyoamini propaganda hizo yamejikuta yanashabikia na kujiingiza kwenye ugomvi ambao kiuhalisia HAUPO. e.g. Kuna kundi linalofadhiliwa na Iran lipo hapo Syria linajiita The Islamic Popular Force. Mambo ya kidini unayaunganishaje na mambo ya vita/jeshi? Yan ni kama tujiulize hivi kuna risasi na mabomu ya kiislam? Kama ni ndiyo, basi tuseme pia zipo risasi na mabomu ya kibudha, kikristo, n.k. n.k. Siku zote Tunamwomba Mungu atuepushie vita na Hatujawahi hata siku moja kumwomba Mungu atuepushie Uislam, Ukristo, Uhinduism, Ubudha n.k. n.k.
Kwa kifupi niseme tu kama angalizo kwamba HAKUNA MUNGU awaye yeyote yule (labda Shetani) mwenye mpango wa kikifuta kizazi chote cha Wayahudi au waIsraelites. HAYUPO na HATOKAA AWEPO.
Hakuna dini inayochuchumalia vita bali dini zote huzungumzia AMANI na Utengamano baina ya Wanadamu.
 
Story za jaba unaleta kwa great thinker
 
Exactly Yes. Watu wanadhani HAMAS ndo Palestina na Hezbollah ndo Lebanon kitu ambacho sio sahihi hata kidogo. HAMAS na Hezbollah ni makundi ya kisiasa lakini yenye mwelekeo wa kidini (Shia Islamic Groups)na yana kitengo cha kijeshi ndani yake. Palestina ni nchi huru na Lebanon pia ni nchi huru. Makundi hayo yameimarishwa na kufadhiliwa na nchi ya Iran (mafunzo na silaha za kivita) ndo mana yanathubutu kuanzisha vita na nchi ya Israeli. Anachokifanya Israel ni kuyasambaratisha na kuyatokomeza makundi hayo yakiwa mumo humo ndani ya nchi yalipo. Kwa mtazamaji au msomaji asiyejua undani wa kinachoendelea atadhani Israel inapigana vita na Palestina au na Lebanon kitu ambacho sio. Adui Mlengwa ni Hezbollah ndani ya nchi ya Lebanon na HAMAS ndani ya nchi ya Palestina. Palestina na Lebanon kama nchi huru hazina bifu na Israel ila sasa imeshakuwa kama ulivyosema "unamhifadhi adui halafu anashambulia akitokea kwako"
Mkuu na ndiyo ukweli usiosemwa huo. Hezbollah hamas na houth wote ni matawi ya Iran na ndiyo maana yalipochokonolewa mashimo yao Panya katoka kwenye shimo lake akarusha vimondo kuelekea Israel.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Siku ya leo Oktoba 7 ndege za Jeshi la IDF zaidi ya 100 zimefanya mashambuluzi makubwa zikilenga shabaha na kusambaratisha maeneo takribani 120 yaliyo ngome kuu za magaidi ya Hezbollah yaliyojichimbia Kusini mwa Lebanon

Shambulizi hilo la hatari lilitumia takribani saa moja tu kabla ya ndege hizo kugeuza kurudi mapumzikoni

Idadi ya wahanga itajulikana huko mbeleni ila kwa leo toshe kusema IDF imeamua

Mungu wabariki watoto 12 wa Yakobo mwana wa Isaka mwana wa Ibrahimu

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

October 7, 2024

IDF says 100 fighter jets attacked over 120 Hezbollah targets in south Lebanon today

By Emanuel Fabian Follow
Today, 6:38 pm

This picture taken from the southern city of Tyre shows smoke billowing from the site of an Israeli airstrike in a southern Lebanese village, on October 7, 2024 (KAWNAT HAJU / AFP)

Some 100 Israeli fighter jets carried out a large wave of airstrikes against more than 120 Hezbollah targets in southern Lebanon earlier today, the IDF says.

The strikes, which lasted an hour, hit Hezbollah sites belonging to the terror group’s Southern Front, elite Radwan Force, rocket and missile division, and intelligence division, according to the military.
IDF ni shida sana aisee
 
Inaonekana huna uelewa juu ya ajenda kuu ya wayahudi.

Wayahudi si tu wanapambana na HAMAS au Hezbollah bali wanataka kuua kila chembechembe ya Uislam katika Middle East.

Vita ya wayahudi dhidi ya waislam haijaanza leo tu bali zaidi ya miaka 1400 iliyopita kipindi Mtume Muhammad s.a.w yupo
Mkuu; Hilo sikubaliani nalo kamwe. Kama ingekuwa agenda ya Wayahudi ni kuua kila chembe chembe ya Uislam mbona si wangelianza basi na kuwamaliza wale Waislam waliomo humo ndani ya nchi ya Israel ambao ni zaidi ya milioni 1.7 (18%)? Haiingii akilini eti Wayahudi waende mbali kote huko wakatafute waislam wa kuwaua ilhali wanao Waislam ready at hand hapo nyumbani kwao?
Halafu kwa sasa chokochoko iliopo ni baina ya Makundi yanayojinadi kuwa ni ya kiislam lakini ni waislam wa madhehebu ya Shia peke yao. Madhehebu ya Sunni na Ahmadiya hawajajihusisha.
Ukweli ni kwamba ikitokea siku Iran ikatetereka au ikakubali kubadilika na kuacha kuyafadhili makundi ya kiislam yaliyopo na yenye harakati za kijeshi kwa ufadhili wao (Iran) naamini huenda hapo Middle East pakatulia.
Tena; Ingekuwa ni kheri sana usimhusishe Mtume Mohammad s.a.w na yanayoendelea huko Middle East. Laiti angelikuwepo nina uhakika angekugombeza sana.
 
Mkuu na ndiyo ukweli usiosemwa huo. Hezbollah hamas na houth wote ni matawi ya Iran na ndiyo maana yalipochokonolewa mashimo yao Panya katoka kwenye shimo lake akarusha vimondo kuelekea Israel.
Na kwa sasa kinachoendelea mezani ni jinsi ya kumfanya Nyani ateme bungo.
 
Fuatilia Hezibollah wametuma nini Israel katika kukumbuka October 7 na uharibifu uliotokea Israel.
 
Ifike wakati wapige magaidi na wanaowafuga wote pamoja
Kha! We hausikii vilio kutoka pande hizo "IDF anaua wanawake na watoto"? Unadhani hao wanawake na watoto ni nini kinawaweka hapo ilhali Mwamba alitoa matangazo ya kuondoka/kupisha mtifuano? Hao ndo wanaowafuga magaidi ndo mana wanachanganywamo.
 
Tuendelee kuiombea Israel..

israel_gay_pride1_wide-e9db615c11cfb1785dced7dcf4e6f6203718749f.jpg
images (5).jpeg
nNduguzo wanailaani israel mbona
 
Walianza na Gaza, Hezbollah wao walikuwa wakipiga huku Jews wakiwaangalia tu kama hawaoni

Wamesafisha Gaza na sasa zamu ya chimbuko la magaidi huko Lebanon, wakati huo huo kama ilivyokuwa kwa Hezbollah kuishambulia Israel wakati ikipiga magaidi ya Gaza, ndivyo anavyofanya Irani

Sasa watoto wa Yakobo wakitoka kusafisha magaidi ya Hezbollah, burudani yenyewe itafuatia

Mzaa magaidi itakuwa zamu yake, huko itakuwa ni Jeshi kwa Jeshi

Siyo huku ambapo wana wa Yakobo inawapa shida kidogo, kupambana na wasio na sare na wenye kujificha popote hata mahosipitalini
Show ya VVIP Itawadia au sio
 
Israel inaisaidia Serikali ya Lebanon sana, msije shangaa baada ya Vita wakaanzisha ushirikiano
Hapana mkuu, hayo mashambulizi yanaiharibu Sana nchi ya Lebanon na kuua maelfu ya raia wasio na hatia.
 
Hamna jipya hapo, ungefuatilia vita ya Hezbollah na Israel 2006, ungedhani Lebanon itafutika na kubaki jangwa kwa jinsi IDF alishambulia.

Israel aache ubabe wa kipuuzi ME, aishi vyema na jirani zake hilo ndilo suluhisho.
Majirani zake wapo tayari kuishi naye kwa amani?
 
Back
Top Bottom