Ndege hatari 100 za IDF zafanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha maeneo 120 yaliyo ngome kuu za Hezbollah Lebanon kusini

Niwakumbushe wavaa Kobazi, huko Saudi Arabia mtume alipoishi Hezbollah inatambulika kama kikundi Cha Kigaidi..

Ila Watu mnaokaa mbagala mnaamini ni Waislam wenzenu
 
Unaifadhi adui wa mtu alafu anashambulia kutokea kwako kwanini usishambuliwe?
Hili unalosema tulikwambia ulete ushahidi ukashindwa.
Hizbollah hivi tunavyoongea wako mpakani na Israel.
Je unalijua hilo au unaropokwa kama umelewa mbege!?
 
Ikitokea Israel imeamua kuacha kabisa kupigana , nini kitatokea kwa wakazi wa taifa hilo ?
 
Unavyoandika hapo utafikiri na wewe upo kwenye huo mpaka.
Hili unalosema tulikwambia ulete ushahidi ukashindwa.
Hizbollah hivi tunavyoongea wako mpakani na Israel.
Je unalijua hilo au unaropokwa kama umelewa mbege!?
 
Hili unalosema tulikwambia ulete ushahidi ukashindwa.
Hizbollah hivi tunavyoongea wako mpakani na Israel.
Je unalijua hilo au unaropokwa kama umelewa mbege!?
Vita vinapiganwa ndani ya Lebanon kumbuka Hilo, kama Hezbollah wana ubavu wangeingia ndani ya Israel
 
Vita vinapiganwa ndani ya Lebanon kumbuka Hilo, kama Hezbollah wana ubavu wangeingia ndani ya Israel
Uwe unatumia akili bro.
Wanajeshi wa Kenya wapo mpaka wa Namanga na wanashambulia wewe JWTZ unarusha makombora Nairobi,je hiyo ni akili!?
JIBU KAMA MTU MZIMA UNAYEJIELEWA.
 
Uwe unatumia akili bro.
Wanajeshi wa Kenya wapo mpaka wa Namanga na wanashambulia wewe JWTZ unarusha makombora Nairobi,je hiyo ni akili!?
JIBU KAMA MTU MZIMA UNAYEJIELEWA.
Sasa unawapangia jwtz sehemu ya kushambulia? Ujue we jamaa una tatizo kichwani, kama jwtz imeona kuna maghala yamehifadhi silaha huko Nairobi kwanini wasishambulie?
Israel inashambulia popote wanapoona wao panawafaa, hiyo haihusiani na vita vya ardhini vinavyopiganwa ndani ya Lebanon
 
Huwa nasemaga hutumii akili unaona kama nakutukanaga.
Hivi unajielewa wewe unamuacha adui mlangoni kwako unalipua sehemu nyingine!?
Bro mie mtu mzima bana sibishani UFALA kaa bishana na watoto wenzako,hii comment yako inadhihirisha umjinga kiasi gani.
Hata Nyerere angekua hai angekusikia angekuchapa makofi,ni sawa yeye aache kupigana na askari wa Idd Amini waliopo Kagera aende kulipua Kampala.
Bro END OF DISCUSSION WITH YOU.
 
Kwa hiyo lebanon ilikuwa koloni la iran?
 
Soon haya mataifa yanayowasaidia wayahudi nayo yataingia katika mizozo ya vita kubwa na yatashindwa kupeleka misaada kwa mayahudi na hapo ndipo mayahudi watakapojua hasira za waislam.
Myahudi akimalizana na Hezbollah, vinafuata vikaragosi vya pale Yemen.

Mwaka huu magaidi ya kiislamu yameyatimba walahi
 
Myahudi akimalizana na Hezbollah, vinafuata vikaragosi vya pale Yemen.

Mwaka huu magaidi ya kiislamu yameyatimba walahi
Wakimalizana na magaidi wote atakaefata ni mfadhili wao mkuu irani, Mungu ibariki Israel tunataka dunia yenye amani
 
Wakimalizana na magaidi wote atakaefata ni mfadhili wao mkuu irani, Mungu ibariki Israel tunataka dunia yenye amani
Kabisa ndio maana Israel hawezi kumpiga Iran kwa sasa kwa sababu akianza kumpiga Iran hao magaidi wa Hamas, Houth na Hezbollah wanaanza kushambulia Israel kwa vikombora vyao kutoka Iran.

Kwa hiyo lazima awamalize hawa sisimizi kwanza ili akianza kumbandua baba mkuu pasiwepo na usumbufu
 
Sasa bro! Acha kukimbia mjadala kwa kisingizio Cha utu uzima maana huo utu uzima umekufanya kuwa kilaza, hapa umejiona umeandika bonge la point, nimekwmbia vita vinapiganwa ndani ya Lebanon, mbona Hezbollah wanarusha maroketi popote ndani ya Israel wakijiskia, kwanini wasivamie ndani ya Israel? Kwanini Israel ikishambulia popote mnalalamika, Israel ilishambulia Beirut na kumuua nasralah ulitaka washambulie wapi? mnapangia adui sehem ya kushambulia?
 
Nakupa point ya mwisho naona unazidi kuongea UFALA TU HAPA.
Madai ya Israel inashambulia walipo Hibzollah na askari wake.
Hizbollah askari wake wapo mpakani na Lebanon na Israel.
Beirut kuna ofisi za chama cha Hizbollah na ni ofisi za kisiasa mpuuzi wewe.
Tukio la kumuua Hassan Nasrallah usifananishe na mashambulizi ya sasa hivi.
Madai ya pili ya Israel ni kuingiza jeshi kwa miguu kuliteketeza kundi la Hizbollah.
Siku tatu zilizopita Hizbollah wamejitega mpakani wakavamia Kiryat Shmona na kuua askari wa IDF ikisemekana vifo vimefika 300 hadi sasa.
Inamaana KAMA JESHI LENYE UWELEDI LILITAKIWA KUPAMBANA NA HAO WANAMGAMBO HAPO MPAKANI NA KIRYAT SHMONA.
Unalipua Beirut HAKUNA ASKARI WA HIZBOLLAH UNA AKILI AU MAVI!??
Hizbollah imeshambulia hovyo baada ya Israel yako unayoishabikia kushambulia hovyo.
Na hiyo phase ishapita,usilete hiyo phase ku justify upuuzi ulioandika.
Phase ya sasa ni ground invasion South Lebanon,je Beirut ni South Lebanon!?
Na Israel si ilitoa evacuation order raia wote waende Beirut watoke South Lebanon!?
Sasa unalipuaje ambako unawaambia raia wakimbilie!?
We jamaa umedata,fala,mpuuzi ama mjinga!?
 
vidumewapo live huko Al jazeera,nini ndege 100 hata waje Jehova wao vita ipo pale pale mpk ceasefire GAZA ikamilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…