Ndege hatari 100 za IDF zafanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha maeneo 120 yaliyo ngome kuu za Hezbollah Lebanon kusini

Ndege hatari 100 za IDF zafanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha maeneo 120 yaliyo ngome kuu za Hezbollah Lebanon kusini

Nakupa point ya mwisho naona unazidi kuongea UFALA TU HAPA.
Madai ya Israel inashambulia walipo Hibzollah na askari wake.
Hizbollah askari wake wapo mpakani na Lebanon na Israel.
Beirut kuna ofisi za chama cha Hizbollah na ni ofisi za kisiasa mpuuzi wewe.
Tukio la kumuua Hassan Nasrallah usifananishe na mashambulizi ya sasa hivi.
Madai ya pili ya Israel ni kuingiza jeshi kwa miguu kuliteketeza kundi la Hizbollah.
Siku tatu zilizopita Hizbollah wamejitega mpakani wakavamia Kiryat Shmona na kuua askari wa IDF ikisemekana vifo vimefika 300 hadi sasa.
Inamaana KAMA JESHI LENYE UWELEDI LILITAKIWA KUPAMBANA NA HAO WANAMGAMBO HAPO MPAKANI NA KIRYAT SHMONA.
Unalipua Beirut HAKUNA ASKARI WA HIZBOLLAH UNA AKILI AU MAVI!??
Hizbollah imeshambulia hovyo baada ya Israel yako unayoishabikia kushambulia hovyo.
Na hiyo phase ishapita,usilete hiyo phase ku justify upuuzi ulioandika.
Phase ya sasa ni ground invasion South Lebanon,je Beirut ni South Lebanon!?
Na Israel si ilitoa evacuation order raia wote waende Beirut watoke South Lebanon!?
Sasa unalipuaje ambako unawaambia raia wakimbilie!?
We jamaa umedata,fala,mpuuzi ama mjinga!?
Shida Yako ndio hii sasa kuandika udaku mwingi afu point akuna, mbaya zaidi unaleta makasiriko kwa mtu hata usiemfahamu, yani kwa akili hizi kama zako acha muendelee kuuwawa kama kumbikumbi huko Gaza punda wewe.
 
hao zionist hawana uhusiano na wana wa israel.
hao ni wazungu pure
Kwa akili ya kawaida:Waisrael lugha yao asili ni kiebrania,na ndicho kilichotumika kuandika vitabu vya Mungu Kwa mkono wa manabii.Leo hii taifa linalozungumza kiebrania kama lugha yao ya taifa ni hao hao unaodai sio waisrael.Unatakiwa utuambie Waisrael wenyewe wanapatikana nchi gani Kwa kutuhakikishia kuwa wanakifahamu vema kiebrania.Au utuambie duniani Kuna taifa lolote linalotumia lugha ya kiebrania tofauti na hili taifa la Israel ya Sasa?Yaani mzungu awachukue wenzake awapeleke pale,awafundishe kiebrania,lugha ambayo hata yeye haifahamu,awafundishe,tamaduni na torati wakati yeye mwenyewe hajui!!Kwa kutafuta nini hasa!Kama lengo ni kulinda maslahi yao;Kuna haja gani ya kuwafundisha kiebrania na torati?Au ukiwekwa eneo Hilo automatically unajua kiebrania na torati?Au ukitaka kuwapandikiza watu eneo fulani Kwa ajili yako Ili walete maslahi ya kutosha basi lazima waongee kiebrania?Si wangewafundisha kiarabu?Maana wenye hayo maslahi ni waarabu.Wangewafundisha kiarabu na taratibu za kiislamu,wajichanganye na waarabu Ili waonekane ni waarabu wenzao,WACHUKUE mafuta kiulaini kama wanavyofanya Saudia.Au C.I.A wanavyopandikizwa kwenye nchi za kiarabu hadi wanajua ni wenzao kumbe ni maagent.Ujue mnapozungimza eti hao sio Waisrael halisi ndo mnawafanya wajione bora kuliko wote.Israel ni taifa kama lilivyo Tanzania.Watanzania ni sawa na Waisrael maana wote wameumbwa na MUNGU mmoja,na MUNGU anawapenda wote.Israel alikabidhiwa mausia ya MUNGU ili ayasambaze kwa wengine nao wamfahamu muumba wao.Lkn Israel kama taifa lilikataa.Kwa kukataa kwao ndo walijitoa wenyewe kuwa taifa teule,takatifu Kwa MUNGU.Sasa hivi taifa takatifu ni kila mtu azishikaye AMRI za MUNGU na ushuhuda wa YESU(Isaya 8:20,Ufunuo 14:12).
 
Hamna jipya hapo, ungefuatilia vita ya Hezbollah na Israel 2006, ungedhani Lebanon itafutika na kubaki jangwa kwa jinsi IDF alishambulia.

Israel aache ubabe wa kipuuzi ME, aishi vyema na jirani zake hilo ndilo suluhisho.
Nawao waishi vizuri na Israel, ni win win situation😆
 
Hili unalosema tulikwambia ulete ushahidi ukashindwa.
Hizbollah hivi tunavyoongea wako mpakani na Israel.
Je unalijua hilo au unaropokwa kama umelewa mbege!?
Uwe na akili ya kufikilia. Sasa hizibolah akipigana na Israel mabomu yanatua marekani? Si yanatua kwa Lebanon waliowaifdhi hizibolah ambao ni tawi la Iran. Nasralah Aliuwawa ndani ya Iran au Lebanon?. Na makamanda wengi wa Iran waliouwawa waliuliwa Iran au nje ya Iran?. Jiongeze kobasi umelewa alkasusu au gahawa?
 
Ona huyu mburukenge anazungumza nini.
Mbona unaropokwa kama umelewa mbege!?
Umewahi leta ushahidi wa ulichosema huko juu!??
Lete ushahidi wa ulichosema huko juu maana unazidi kuropokwa tu hapa na mbaya zaidi hujui kuandika
.
 
Wewe unajua nini zaidi ya alkasusu?. Wenye akili pekee wanaelewa nachokujibu na unavyokimbia kujibu unakuja na vitu vyepesi jukwaani. MNAFIKI MKUBWA WEWE
 
Wewe unajua nini zaidi ya alkasusu?. Wenye akili pekee wanaelewa nachokujibu na unavyokimbia kujibu unakuja na vitu vyepesi jukwaani. MNAFIKI MKUBWA WEWE
Huna akili na huna unachojua.
Ulichoeleza na nilichokujibu na unachonijibu haviwiani.
Nakusisitiza lete ushahidi wa unachosema kuanzia mwanzo wa mjadala.
Kama huna ushahidi kaa kimya.
Huna unachojua na huna ubavu wa kubishana hoja na mimi.
 
Unafiki wako unahita ni hoja?.
 
Back
Top Bottom