Mbona hayaendani na ndegeIsaya : Mlango 50
11 Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Kwani baba yako akiwa na biashara ya gari kufaidika nayo mpaka uipande? Ww hata darasani walimu wako walitesekaWakati mwingine hao wapinzani wana hoja!
Mtu hawezi toka kwenye nyumba ya tembe aende kupanda BOEING 878.
Tununue mandege sambamba na kuboresha maisha halisi ya mtanzania mmoja mmoja!
Nimesikia tuna mapesa mengi, huku tunawadhibiti mabeberu wanatupa pato zuri kwenye rasilimali zetu. Hivyo, tunajiweza sana.
Juzi Mzee Mwanakijiji alikuja na hoja nzuri sana ya namna ya kupambana na kutokomeza makazi duni ya tembe na kukarabati shule zilizochoka ziwe na muonekano wa kisasa!
Umasikini katika individual basis ni mkubwa sana! Hasa vijijini!
Wakati mwingine hao wapinzani wana hoja!

Hauwezi kununua gari ukawaacha watoto wanalala njaa!Kwani baba yako akiwa na biashara ya gari kufaidika nayo mpaka uipande? Ww hata darasani walimu wako waliteseka
Haya umenunua hela yote unga kesho utakula nnHauwezi kununua gari ukawaacha watoto wanalala njaa!
Vinginevyo ununue gari na unga wa ugali kwa pamoja!
Hamna kitu nyie mmekwishaKazi ni kusifia tuu,leo hii meko angekuwa anaboresha miundo mbinu vijijini halafu wapinzani wakawa wanataka zinunuliwe ndege sijui nyie ccm mngebaki upande gani.
Mi nshaongea hadi nmechoka...Wakati mwingine hao wapinzani wana hoja!
Mtu hawezi toka kwenye nyumba ya tembe aende kupanda BOEING 878.
Tununue mandege sambamba na kuboresha maisha halisi ya mtanzania mmoja mmoja!
Nimesikia tuna mapesa mengi, huku tunawadhibiti mabeberu wanatupa pato zuri kwenye rasilimali zetu. Hivyo, tunajiweza sana.
Juzi Mzee Mwanakijiji alikuja na hoja nzuri sana ya namna ya kupambana na kutokomeza makazi duni ya tembe na kukarabati shule zilizochoka ziwe na muonekano wa kisasa!
Haiwezekani tujisifu tuna mandege huku watoto wanavaa kaptula zenye viraka na kusoma kwenye sakafu za udongo. Vumbi, bacteria, virus, tuberculosis, pumu, na kila kitu humo!
Umasikini katika individual basis ni mkubwa sana! Hasa vijijini!
Bado hawajielewi,wanajua tumenunua kwa ajili ya show...Imefikia hatua ya kutokujua kuwa kufufua miundombinu ya Usafiri wa anga majini na nchi kavu kutasisimua utalii tutaongeza pato la ndani tutapatafaida itakayotumika kununulia madawa kuboresha miundombinu ya maji shule nk mnataka tule hata mbegu? Kesho mtapanda nnn
Mkuu mbona unaongoza kwa ujinga?Kwani baba yako akiwa na biashara ya gari kufaidika nayo mpaka uipande? Ww hata darasani walimu wako waliteseka
Bora,kuwa mjinga kuliko zezeta kama weweMkuu mbona unaongoza kwa ujinga?
Hujui nanda shule ww hz mambo si saizi yakoBado hawajielewi,wanajua tumenunua kwa ajili ya show...