E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 16,054 Reaction score 11,568 Nov 26, 2019 #1 Hivi mnaona raha gani njia nzima mko watu nane tu, all the way from US to Dar? Mimi nina mabegi mawili na mkoba, stuli na coffee table msiniache. Nilikuja Canada kujaribu maisha naona mambo hayaendi.
Hivi mnaona raha gani njia nzima mko watu nane tu, all the way from US to Dar? Mimi nina mabegi mawili na mkoba, stuli na coffee table msiniache. Nilikuja Canada kujaribu maisha naona mambo hayaendi.
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 Nov 26, 2019 #2 🤣🤣🤣cofee table ya nn sasa mkuu
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Nov 26, 2019 #3 Njoo hapa ubalozini ujiandikeshe
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 7,841 Reaction score 17,491 Nov 26, 2019 #4 Hahah umenikumbusha enzi za kuburgain nauli kwenye gari za IT dar moro hiyo. "kuliko kusafiri mwenyewe si bora uchukue hii elfu 5 tu mkuu"
Hahah umenikumbusha enzi za kuburgain nauli kwenye gari za IT dar moro hiyo. "kuliko kusafiri mwenyewe si bora uchukue hii elfu 5 tu mkuu"
E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 16,054 Reaction score 11,568 Nov 26, 2019 Thread starter #5 Remote said: Njoo hapa ubalozini ujiandikeshe Click to expand... Nipe ramani ubalozi uko mtaa upi?