Ndege ikiachiwa tunaomba lift acheni roho mbaya

Ndege ikiachiwa tunaomba lift acheni roho mbaya

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
Hivi mnaona raha gani njia nzima mko watu nane tu, all the way from US to Dar? Mimi nina mabegi mawili na mkoba, stuli na coffee table msiniache.

Nilikuja Canada kujaribu maisha naona mambo hayaendi.
 
Hahah umenikumbusha enzi za kuburgain nauli kwenye gari za IT dar moro hiyo. "kuliko kusafiri mwenyewe si bora uchukue hii elfu 5 tu mkuu"
 
Back
Top Bottom