Ndege iliyobeba wachezaji kutoka Brazil yaanguka na kuua 76

Ndege iliyobeba wachezaji kutoka Brazil yaanguka na kuua 76

Reason of crash....lack of fuel,huu ni uzembe,kabla ndege haijaruka rubani anapashwa kujaza flight plan,na amwambie controller mji anaoenda,idadi ya watu,flight leval reguested na indurance( mafuta ya masaa mangapi),sasa imekuwaje ndege iishiwe mafuta?....
 
9ced3111bf5bd9e715732b67c38aff34.jpg


b7898ca182c893f81f28cb30d0890182.jpg


So sad R.I.P
 
Corinthians have sent a formal request to the CBF asking for Chapecoense to be exempt from Serie A relegation for the next three seasons.

All Serie A clubs have agreed to the request, which also includes free loan signings for Chapecoense for the 2017 season.
A minute's silence will be held before kick-off tonight, with both clubs wearing black armbands as a mark of respect #ForçaChapecoens

[emoji120]
PSG have informed FIFA that they will donate €40 million to Chapecoense. Fantastic gesture. (Source: Various)
 
Ni moja kati ya matukio ya kusikitisha sana katika medani ya soka. Pole sana
 
Litakuwa juju nini maana watu wa soka wana kitu wanaita benchi la ufundi.
 
Poleni sana wafiwa' Every soul shall taste deadness........

Inasemekana Ndege hiyo hiyo iliwabeba wachezaji wa timu ya Argentina wiki mbili zilizopita ikiwa na mchezaji Lionel Messi walipokuwa wakielekea san Juan Argentina kwa ajili ya mechi ya kufuzu kucheza kombe la dunia.
 
Back
Top Bottom