Ndege inaweza kuruka juu chini?

Ndege inaweza kuruka juu chini?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Geekswipe_Can-a-commercial-airplane-fly-upside-down_Res_Flight_1.jpg
 
Katika Vitu uombe sanaa sana mnooo isikukute ni ajali ya Ndege!!! Ndege ni moja ya Vitu naviogopa sanaaa..Ikipigwa Turbulance tu huwa nakaribia kuzimia
Kuna moja niliitazama kupitia kipindi cha aircraft investigation nadhani ilikuwa ni Asia huko nchi kidogo imenitoka kulikuwa na wingu zito pia ndege ilikuwa katika altitude ya juu tu lakini mara kwa mara GPWS ina alert terrain pull up wakahisi labda kuna malfunction katika mfumo wakazima switch ghafla wanatahamaki mlima huo mbele yao Ile ndege ilijipiga kiwango ambacho nilisema ndege ni salama mno ila siku ikiamua yake ni aibu.
 
Kama unaona ni rahisi ndege kutembea ikiwa hivyo,we tembea kichwa miguu juu uone utafika wapi
 
Katika Vitu uombe sanaa sana mnooo isikukute ni ajali ya Ndege!!! Ndege ni moja ya Vitu naviogopa sanaaa..Ikipigwa Turbulance tu huwa nakaribia kuzimia
Ndege ni usafiri salama sana. Wanasema una uwezekano mkubwa wa kufa kwa ajali ukiwa unaenda airport kuliko kufa kwa ajali ya ndege
 
Katika Vitu uombe sanaa sana mnooo isikukute ni ajali ya Ndege!!! Ndege ni moja ya Vitu naviogopa sanaaa..Ikipigwa Turbulance tu huwa nakaribia kuzimia
Ndege kama nilikua nimeanza kuizoea ila juzi hapa nilisafiri kwenda nchi flani sasa kulikua na connecting flights kama 2 ama 3 ili ufike na kurudi the same, aisee, ile flight ya mwisho kufika kule ndege ilikua inapaa na kushuka ghafla kisha inapaa tena, ni mwendo wa saa 1 na nusu ila niliona ni kama masaa 5, tuliposhuka nilijawa sana na uoga wa ndege.

Sasa siku ya kurudi, flight ya mwisho ilikua na connect kwa kutumia atcl, wakati ndege inapaa pale airport kama ikataka kushuka chini, wamama walipiga kelele balaa, nilipata shida sana, hua safari ndefu kama hizo hua nalala ila baada ya ile situation hata usingizi haukuja tena.

Ndege ni kitu cha kuogopa sana.
 
Back
Top Bottom