Ndege inayomsafirisha Nancy Peloce yaonekana ikikaribia kisiwa cha Taiwan. China yakaa tayari kwa lolote!

Mtoa hoja relax, nchi yetu tuna matatizo makubwa mno kama ya unemployment, economic etc etc, US na China hawawezi kuingia vitani kisa eti ziara ya speaker?,mtoa hoja ni vema ukawa na wasiwasi what's happening na mpaka wetu na Mozambique
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…