This is nonsense sijui ukoje marekani wanasababisha vita maeneo mbali mbali alafu bado unawashabikia watu wengine mpimwe akili Marekani ni superpower anayeenda kuanguka walikuwepo superpower wenye nguvu kushinda marekani wakaanguka zamu ya kuanguka Kwa marekani imefika.