Ndege JOHN aamua kuzamia katika bongo hiphop

Ndege JOHN aamua kuzamia katika bongo hiphop

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Moja kati ya vitu vinavyonivutia Duniani Ni pamoja na mziki wa hip-hop.nimehudhuria Mara nyingi mno katika vilinge vya tamaduni Muzik pale msasani B club na pia pale micasa ya Riverside katika rap battle.nilikuwa napenda kuchana lakini freestyle nahisi siwezi nikawa natamani kurecord ngoma Kama wafanyavo wakina ghetto ambassador,kad go n.k....nina uwezo mkubwa wa kuandika mistari naweza kuonyesha kupitia hii thread uzuri Ni kuwa kwa Sasa Nina hela naweza kuingia studio kurecord biashara haramu haramu zimeniingizia pesa kwangu Mimi kutoa 50000 kurecord nyimbo sio tatizo tofauti na zamani
Kwa hivyo naombeni mwongozo wenu nawezaje kufaidika na mziki na je nyie wenzangu mtanipa sapoti japokuwa naogopa kuonyesha identity yangu coz nimeongea mengi Sana humu ndani naweza kushikwa kirahisi.ila kiukweli natamani kufanya mapinduzi ya hip-hop naamini naweza ambaye anataka collabo..tuendelee kulinda wazee wetu dhidi ya covid
 
Back
Top Bottom