Ndege John nawaaga rasmi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nawapenda Sana simchukii mtu hata mmoja kwa sababu nawajua member watatu tu katika jamiiforum.kuna mabadiliko nayotaka kuyafanya Hapa ulimwenguni yakihusisha Zaidi maisha yangu ya kiroho, kimwili na kiakili Sasa najiweka pembeni kidogo katika mazingira ya maisha ya mazoea niliyokuwa naishi na pia kwenye masuala ya mitandao ya kijamii kwa maana ya kupost na kuchangia.lengo langu la kufanya Ni kutaka kujifunza mambo fulani kiundani zaidi na kuyafanyia kazi.sambamba na hilo pia Kuna Jambo kubwa limenitokea katika maisha siku ya tarehe ya leo.jambo Hilo sitawaeleza Ni Siri nzito ila nawaahidi nitakujaga na ID nyingine Ili nitakayojaliwa na mwenyeziMungu yawape faida.
Nawatakia maisha mema na mafanikio mema kutoka kwa Mungu katika kuijua kweli na kuishi nayo.AMEN
 
Ngoja nicomment kabla sijasoma post..

Mkuu msalimie anko magu mwambie mama anaupiga mwingi mno.!miamala ya simu kaipandisha ili apate hela za kujenga barabara za vijijini
 
Umeishi kwa shida sana since tarehe 17 March, 2021. Wewe na wenzako mliamini ufalme wa nchi utakuwa juu yenu, mkasahau kuwa Mungu aliye Mkuu ndiye Mfalme wa yote.

Pwetelea pwete....ukija na ID ingine uje na adabu ukiamini Sponsor hufariki. Ishi na watu vzr.
 
Yaani mmetupandishia mafuta, nauli na tozo za miamala alafu mnaanza kutukimbia!
 
Afadhali maana utoto ulikuwa umezidi
 
Reli tumejenga Kwa Pesa zetu wenyewe lakini treni mama ameshakopa Hela Za kuinunua....Kweli anaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…