ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nawapenda Sana simchukii mtu hata mmoja kwa sababu nawajua member watatu tu katika jamiiforum.kuna mabadiliko nayotaka kuyafanya Hapa ulimwenguni yakihusisha Zaidi maisha yangu ya kiroho, kimwili na kiakili Sasa najiweka pembeni kidogo katika mazingira ya maisha ya mazoea niliyokuwa naishi na pia kwenye masuala ya mitandao ya kijamii kwa maana ya kupost na kuchangia.lengo langu la kufanya Ni kutaka kujifunza mambo fulani kiundani zaidi na kuyafanyia kazi.sambamba na hilo pia Kuna Jambo kubwa limenitokea katika maisha siku ya tarehe ya leo.jambo Hilo sitawaeleza Ni Siri nzito ila nawaahidi nitakujaga na ID nyingine Ili nitakayojaliwa na mwenyeziMungu yawape faida.
Nawatakia maisha mema na mafanikio mema kutoka kwa Mungu katika kuijua kweli na kuishi nayo.AMEN
Nawatakia maisha mema na mafanikio mema kutoka kwa Mungu katika kuijua kweli na kuishi nayo.AMEN