ndege JOHN nimewamiss:naombeni msinisahau wakuu bado nipo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
wakuu nilitoweka kwa muda ndani ya ulimwengu wa mitandao na hasa JF Sababu kubwa ni kufulia yaani nimefulia ni kinyama nimekuwa maskini sana lakini mambo yakikaa vizuri nitarudi humu ndani kuungana na washikaji zangu na tena hapa yenyewe nimeazima simu kwa mtu ndo nika log in nikapost Mimi Sina smartphone niliuza baada ya Mambo kuwa tight. mtaani ni pamoto sana asee borea hata humu ndani maisha waga sio magumu Ila mtaani hapafai mpaka nimedata nimechizi.nimewamiss Sana wote kwaherini
 
Mdogo wangu, kaka yako nimepata kazi hapa Makao makuu ya chama cha Majangiri Chimwaga. Nitafute nikupe mchongo ukiwa na kadi ya kijani
 
wakuu nilitoweka kwa muda ndani ya ulimwengu wa mitandao na hasa JF Sababu kubwa ni kufulia yaani nimefulia ni kinyama nimekuwa maskini sana lakini mambo yakikaa vizuri nitarudi humu ndani kuungana na washikaji zangu na tena hapa yenyewe nimeazima simu kwa mtu ndo nika log in nikapost Mimi Sina smartphone niliuza baada ya Mambo kuwa tight. mtaani ni pamoto sana asee borea hata humu ndani maisha waga sio magumu Ila mtaani hapafai mpaka nimedata nimechizi.nimewamiss Sana wote kwaherini
Nenda pale lumumba na kadi ya kijani utapewa ya kula.
 
Kumbe humu ndani maisha rahisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316]
 
Back
Top Bottom