ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
wakuu nilitoweka kwa muda ndani ya ulimwengu wa mitandao na hasa JF Sababu kubwa ni kufulia yaani nimefulia ni kinyama nimekuwa maskini sana lakini mambo yakikaa vizuri nitarudi humu ndani kuungana na washikaji zangu na tena hapa yenyewe nimeazima simu kwa mtu ndo nika log in nikapost Mimi Sina smartphone niliuza baada ya Mambo kuwa tight. mtaani ni pamoto sana asee borea hata humu ndani maisha waga sio magumu Ila mtaani hapafai mpaka nimedata nimechizi.nimewamiss Sana wote kwaherini