Silaha kwa ajili ya vita ipi?antonov 124 sio ndege kubwa tu ni ndege kubwa ya kijeshi hii sio ndege yakibiashara ni ndege ya kijeshi apo kuna silimia kuba imeleta silaha.
Ya kutupiga waandamanaji wa 9D.Silaha kwa ajili ya vita ipi?
Si kweli huo utakuwa ni ukichaa maana itakuwa hajipendi sasa hawezi kufanya hivyo sio rahisi yaliyotokea 29 ni mzigo kwake kwa sasa na hajui atautua vipi!Ya kutupiga waandamanaji wa 9D.
Tunawaambia tu 9D tunatoka.
CCM kumejaa watu wenye uchu wa madaraka.Si kweli huo utakuwa ni ukichaa maana itakuwa hajipendi sasa hawezi kufanya hivyo sio rahisi yaliyotokea 29 ni mzigo kwake kwa sasa na hajui atautua vipi!
Samia ayupo peke yakeSi kweli huo utakuwa ni ukichaa maana itakuwa hajipendi sasa hawezi kufanya hivyo sio rahisi yaliyotokea 29 ni mzigo kwake kwa sasa na hajui atautua vipi!
Ndege ilifika Dar saa 6 na nusu leo tarehe 16 kutoka... surprise surprise... Dubai.🥺🥺🥺🥺Hivi karibuni tu ilitoka moja ya ndege kubwa zaidi ya cargo JNIA (Uwanja wa ndege ya Julius Nyerere, Dar es Salaam).
View attachment 3502738
View attachment 3502739
Live Flight Tracker - Real-Time Flight Tracker Map | Flightradar24
The world’s most popular flight tracker. Track planes in real-time on our flight tracker map and get up-to-date flight status & airport information.fr24.com
Ndege hii ya aina ya Antonov An-124-100 maarufu kama 'Ruslan' ina uwezo wa kubeba mpaka kifaru.
View attachment 3502740
View attachment 3502741
Ndege ilifika Dar saa 6 na nusu leo tarehe 16 kutoka... surprise surprise... Dubai.
View attachment 3502747
Wataalamu, vyombo vya mauaji vinajiandaa kwa D9..
Waarabu waarabu...hivi kumbe kazi bado ipo inabidi watoto wangu niwapeleke hata kenya hapo kwanza nibaki mm mwemyeweMara nyingi Dubai wakikodisha An-124-100 Ruslan huwa wanabeba silaha kupelekea Rapid Support Forces, kundi ambalo ni Janjaweed ya zamani ambayo wanaiunga mkono kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe hapo Sudan.
Na mara nyingi ndege inatoka uwanja wa kijeshi wa Al Reef, uko UAE na kutua hasa Chad. Kisha shehena ya silaha za kuuzia Waafrika inavuka mpaka ardhini na kuingia Mashariki mwa Sudan. Au ndege kubwa kiasi za mizigo zinakuja direct Mashariki mwa Sudan ambapo RSF ina umiliki. Mwaka huu zimeleta medium range anti aircraft missile systems na drones ndogo kutoka maghala ya jeshi la UAE, hasa Chinese made weapons.
Gari za jeshi nyeusi zile zilizotumika na wale jamaa waliovaa t-shirt na jeans ambao tunasema ni Waganda ni za STREIT Group, kampuni ya UAE. NI 4×4 chassis na zina some ballistic protection.
Sasa hapa wameleta nini tena, ammunition au nini.
Kwako ni bora waendelee kuteka, kuua, ufisadi na kuiba kura, umeelewekaWahuni hao kina kiziga na abdul.
Ndiyo mjionee Gen Z kamwe msije kutoka kizembe zembe hiyo D9 maana mtauliwa kama kuku.
Hapana hatutaki wazalendo wauawe kama MO29 ndiyo maana tunasisitiza wakitoka watoke na ZANA kwa ajili ya kupambana na MAGENGE YA WAHUNI WA ABDUL....wakitoka na zana biashara saa nane ishakwisha watu wapo magogoni wanampaka wese la parachuti bibi chura.Kwako ni bora waendelee kuteka, kuua, ufisadi na kuiba kura, umeeleweka
I should assume wameleta air defence systems kwa ajili ya kulinda bandari, dhidi ya dronesMara nyingi Dubai wakikodisha An-124-100 Ruslan huwa wanabeba silaha kupelekea Rapid Support Forces, kundi ambalo ni Janjaweed ya zamani ambayo wanaiunga mkono kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe hapo Sudan.
Na mara nyingi ndege inatoka uwanja wa kijeshi wa Al Reef, uko UAE na kutua hasa Chad. Kisha shehena ya silaha za kuuzia Waafrika inavuka mpaka ardhini na kuingia Mashariki mwa Sudan. Au ndege kubwa kiasi za mizigo zinakuja direct Mashariki mwa Sudan ambapo RSF ina umiliki. Mwaka huu zimeleta medium range anti aircraft missile systems na drones ndogo kutoka maghala ya jeshi la UAE, hasa Chinese made weapons.
Gari za jeshi nyeusi zile zilizotumika na wale jamaa waliovaa t-shirt na jeans ambao tunasema ni Waganda ni za STREIT Group, kampuni ya UAE. NI 4×4 chassis na zina some ballistic protection.
Sasa hapa wameleta nini tena, ammunition au nini.
Rostam kaingiza silaha.Hivi karibuni tu ilitoka moja ya ndege kubwa zaidi ya cargo JNIA (Uwanja wa ndege ya Julius Nyerere, Dar es Salaam).