Ndege kubwa ya Cargo yatua Dar. Wameingiza nini tena?

Ndege kubwa ya Cargo yatua Dar. Wameingiza nini tena?

Mara nyingi Dubai wakikodisha An-124-100 Ruslan huwa wanabeba silaha kupelekea Rapid Support Forces, kundi ambalo ni Janjaweed ya zamani ambayo wanaiunga mkono kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe hapo Sudan.

Na mara nyingi ndege inatoka uwanja wa kijeshi wa Al Reef, uko UAE na kutua hasa Chad. Kisha shehena ya silaha za kuuzia Waafrika inavuka mpaka ardhini na kuingia Mashariki mwa Sudan. Au ndege kubwa kiasi za mizigo zinakuja direct Mashariki mwa Sudan ambapo RSF ina umiliki. Mwaka huu zimeleta medium range anti aircraft missile systems na drones ndogo kutoka maghala ya jeshi la UAE, hasa Chinese made weapons.

Gari za jeshi nyeusi zile zilizotumika na wale jamaa waliovaa t-shirt na jeans ambao tunasema ni Waganda ni za STREIT Group, kampuni ya UAE. NI 4×4 chassis na zina some ballistic protection.

Sasa hapa wameleta nini tena, ammunition au nini.
Na mara nyingi silaha hizo zinawekwa kwenye masanduku yenye label ya DIPLOMATIC BAG. aamvapo zinakuwa na immunity ya kutokaguliwa kwa mujibu wa Kanuni za umoja wa mataifa za Vienna convention
 
NGuvu ya uma nguvu ya nungu fanya ufanyavo kuanguka lazima
 
I should assume wameleta air defence systems kwa ajili ya kulinda bandari, dhidi ya drones
Kazi ya kulinda anga la nchi ni ya jeshi, sio ya kampuni ya wawekezaji. Haijawahi tokea eti Barick wameleta air defense systems kulinda anga la mgodini. Hata balozi zilizopo nchini hazina air defense systems sasa hao wawekezaji wa bandari inakuwaje wawe jeshi tena.

Tukiruhusu hivyo litakuwa shamba la bibi.
 
Na mara nyingi silaha hizo zinawekwa kwenye masanduku yenye label ya DIPLOMATIC BAG. aamvapo zinakuwa na immunity ya kutokaguliwa kwa mujibu wa Kanuni za umoja wa mataifa za Vienna convention
Hawa UAE wamekuwa wahuni miaka hii.

Wakiona sehemu ina ardhi ya kilimo na ina madini ya dhahabu unaona wanatia miguu yao. Tena wanapenda huu ukanda wa pembe ya Afrika na Afrika Mashariki kuanzia Somaliland, Putland, Eritrea, Somalia, Djibouti, Ethiopia. Nchi isipokuwa chanzo, inakuwa uchochoro.
 
Hawa UAE wamekuwa wahuni miaka hii.

Wakiona sehemu ina ardhi ya kilimo na ina madini ya dhahabu unaona wanatia miguu yao. Tena wanapenda huu ukanda wa pembeni ya Afrika na Afrika Mashariki kuanzia Somaliland, Putland, Eritrea, Somalia, Djibouti, Ethiopia. Nchi isipokuwa chanzo, inakuwa uchochoro.
Waarabu kiukweli hawaipendi Ngozi nyeusi. Halafu hii comment yako imenifanya nifikirie mengi kuhusu ile hamisha hamisha ya wamasai na D.P Welding company limited
 
Back
Top Bottom