Ndege kubwa ya Cargo yatua Dar. Wameingiza nini tena?

Na mara nyingi silaha hizo zinawekwa kwenye masanduku yenye label ya DIPLOMATIC BAG. aamvapo zinakuwa na immunity ya kutokaguliwa kwa mujibu wa Kanuni za umoja wa mataifa za Vienna convention
 
NGuvu ya uma nguvu ya nungu fanya ufanyavo kuanguka lazima
 
I should assume wameleta air defence systems kwa ajili ya kulinda bandari, dhidi ya drones
Kazi ya kulinda anga la nchi ni ya jeshi, sio ya kampuni ya wawekezaji. Haijawahi tokea eti Barick wameleta air defense systems kulinda anga la mgodini. Hata balozi zilizopo nchini hazina air defense systems sasa hao wawekezaji wa bandari inakuwaje wawe jeshi tena.

Tukiruhusu hivyo litakuwa shamba la bibi.
 
Na mara nyingi silaha hizo zinawekwa kwenye masanduku yenye label ya DIPLOMATIC BAG. aamvapo zinakuwa na immunity ya kutokaguliwa kwa mujibu wa Kanuni za umoja wa mataifa za Vienna convention
Hawa UAE wamekuwa wahuni miaka hii.

Wakiona sehemu ina ardhi ya kilimo na ina madini ya dhahabu unaona wanatia miguu yao. Tena wanapenda huu ukanda wa pembe ya Afrika na Afrika Mashariki kuanzia Somaliland, Putland, Eritrea, Somalia, Djibouti, Ethiopia. Nchi isipokuwa chanzo, inakuwa uchochoro.
 
Waarabu kiukweli hawaipendi Ngozi nyeusi. Halafu hii comment yako imenifanya nifikirie mengi kuhusu ile hamisha hamisha ya wamasai na D.P Welding company limited
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…