bei nafuu inategemea na mazingira, mashirika huwa na offer katika vipindi tofauti, kwahiyo unaweza kukuta kipindi kingine Ethopia ni rahisi kipindi kingine Fly dubai ndio rahisi. Ukitoa hizo mbili na ATCL ndio mashirika ya bei rahisi. Emirate air line na Oman AIr mara nyingi bei zio juu unless kuwa na offer kali.