Ndege la EMIRATES lajaza dhahabu kufa mtu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Duh kweli hii nchi inaliwa na wenye nchi katika hali isiyokuwa ya kawaida askari wasio na idadi
walitanda airport nzima bila kujua nini kinaendelea kila ukipita askari na mtutu nikajiuliza mama clinton
anarudi tena nini jamani la hasha ndpo nilipojuzwa wah fulani wanaleta mzigo wao wa dhahabu
muda si mrefu aisee hiyo gariilivyojaza nilitamani kuwaita al shababu tanzani anyway wacha tuangalie
wenzetu wwakicheka tutafanyaje

Mkuu, habari yako ujaelezea dhahabu ya kufa mtu inatoka wapi na inakwenda wapi na ulikuwa wapi wakati Ndege la emirates linajaza?

Hahahahaaa,yaaani nacheka sana,kwenye history tunaposema colonial economy created underdevelopment,now tunasema POST-TANZANIA COLONY CREATES POVERTY THRU HER INSTRUMENTS,LIKE POLICY,kama walisain mikataba wacha waibebe,,,,,,,zao la UFISAD
afadhali wewe sie tulipshapatwa hiyo presha na baya walinzi watanzania wenyewee loh nchi yangu

afadhali wewe sie tulipshapatwa hiyo presha na baya walinzi watanzania wenyewee loh nchi yangu

Moto haumalizi msitu, maji ( mafuriko ) hayamalizi msitu, msitu unamalizwa na shoka ambalo mpini wake unatokana na msitu.

Sishangai na sisi watanzania tukishiriki mstari wa mbele kusaidia kuchukua dhahabu, afterall hawa ni wapagazi tu kuna wanaosaini kuotoa PL za vitalu, wajiolojia wanaofanya utafiti ( kwa gharama za serikali) na kupanga foleni kwenye kampuni za wazungu kuwaeleza report za survey kuwa wapi kuna madini gani.

Yote hii ni hadithi ya shoka na msitu, tumekwisha

nilijiuliza kwa nini wale poliisi wanawaua watanzania wakati wakichimba na wao kutaka kupeeleka madini kama watanzania..inaumiz sana tusubiri huyo werema aliesema atachunguza shame on them

Pdidu hizi stori zako mimi naziamini .. kwa Tanzania hili linawezekana kabisa.. watu wengi ni wachumia tumbo.. asante sana Pdoidy kwa information

Pdiddy unamoyo wa kufanya kazi hapo airport kama ingekuwa mimi siwezi kukaa na kuona mali zetu kil kukicha zinapitishwa hapo tena bila ya kulipiwa ushuru lazima nafikiri ningepata kichaa au ningegeuka Al shababu. Nisingeweza kuvumilia ipo siku mtasikia nimejitwika mabaruti na kuwaingilia huko huko walipo hao wliosaini mikataba ya kishe**i

Hivi hii dhahabu:

"The letter provides background information on gold mining to Tanzania, saying in 2010, Tanzania produced some 44 tonnes of gold, almost two thirds of the total produced from the region and 1.7 per cent of global gold production."
Source: allAfrica.com: Tanzania: Miners Say Gold Production Well Regulated

Mlitaka isafirishwe na ngarawa? au mtainunua nyie hapa mtengeze mikufu na pete za ndoa? Mnanshangaza!

nilijiuliza kwa nini wale poliisi wanawaua watanzania wakati wakichimba na wao kutaka kupeeleka madini kama watanzania..inaumiz sana tusubiri huyo werema aliesema atachunguza shame on them

Unachunguza kitu usichokijua, kama unajua kitu unachunguza nini?

Alikuwa wapi siku zote kuchunguza, anagoja mpaka Mh Lema aseme ndo aamke toka usingizini? It seems kazi imemshinda huyu bwana. Hope this time watanzania hatutakuwa wasahaulifu, akishindwa kufanya huo uchunguzi tutamsuta kwa kumbukumbu za hansard.

pesa zinaenda wapi ? mbona kila kitu kinakufa nchini mwetu?kila mradi wa jamiii unakufa ..why? pesa ya mauzo inapelekwa wapi? au hii nayo ni siri

mara nyingi hapa nchini watu hulalama kuhusu hili na lile, mara wanaochimba migodi wanatunyonya au mwana siasa flani ni fisadi au mwizi. Swali la msingi ni je kwa kiasi gani hizi 'hear say' ni za kweli? Una proof? Unaweza kuthibithisha kuwa makumpuni ya madini yanacheat?? Au ni kutokuelewa kwetu tu?? Je kusafirisha dhahabu airport ni kitu cha ajabu?? Kuna wafanyabiashara wengi wa madini nje na ndani ya nchi je hawapaswi kusafirisha kwa ndege?? Mara nyingine tunatakiwa kudadisi ikiwa kinachofanyika sio sahihi na pia kuwa na ushahidi (kisheria) kuwa sio sahihi kabla ya kulalama.

pesa zinaenda wapi ? mbona kila kitu kinakufa nchini mwetu?kila mradi wa jamiii unakufa ..why? pesa ya mauzo inapelekwa wapi? au hii nayo ni siri

Zinenda kwa wachimbaji hiyo dhahabu, ulitaka uletewe wewe? Kachimbe na wewe unangoja nini. Gozi langu nilishawahi kwenda nalo Chunya kuchimba Dhahabu, njenje huko, hata watoto wa shule half time wanaenda kuchimba dhahabu.

UNGEONA WAZEE MADAWA WANAVYOSINDIKIZWA MPAKA MLANGONI SI UNGEJITIA KITANZI MPENDWA ANYWAY TUTAFANYE NA MAMA DIDY ANATAKIWA KWENDA CHOONI AKUNA JINSI
MPWA

NDOA ZIPI FAIZA KUNA ANAENUNUA GOLD TENA SASA ..NGOJA NISKILIZE CLOUDS NIREFRESH

bora ya wanigeria, wanajitahidi kupiga ambush wachimba mafuta wagen ili kuhakikisha wanafaida matunda ya raslimali zao! Watz vichwa vya wendawazimu!, ningejilipua hapo hapo,nikasambaratisha hawo,nikaacha waraka,na review ya mikataba, policies,na faida tungeiona kwa watoto wetu waliobak. Eti mpaka aje al shabbu! He hatuna uzalendo!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…