Dawasco yenyewe inasuasuaMashirika makubwa ya ndege kama SAA, KQ hata Emirates na KLM yamekuwa na changamoto kubwa za kibiashara na hata kufilisika...
Tunazidisha mapambo pale jknaZisije tu kuja kutaga kama hizi nyingine.
Kwa hili tayari tunahesabu hasara kubwa kisa maamuzi ya mtu mmoja tu.Mashirika makubwa ya ndege kama SAA, KQ hata Emirates na KLM yamekuwa na changamoto kubwa za kibiashara na hata kufilisika. Angalia SAA ya Africa Kusini inajitahidi kufufuka kwa taabu kubwa, hili ni shirika lenye ndege zaidi ya 120 na hufanya safari zake popote duniani!, isitoshe linamilikiwa kwa ubia na wazungu na serikali tajiri ya Africa Kusini. Sijui itakuwaje na ATCL yetu kama tu tunshindwa hapa nyumbani kuendesha TTCL na TANESCO kibiashara.
Umeisahau ttcl ipo icu ingawa hawataki kusema makusudiDawasco yenyewe inasuasua
Iduma ccm daima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Upuuzi mtupu!
Wananchi kibamba na sehemu nyingi tu nchini wanakunywa maji ya tope!