Hyo ishakanushwa ww unatuletea Leo ilikuwa ilikuwa propaganda hadi waziri wa ulinzi alipost hzo ndege zinavyoangushwa kuja kufuatilia kumbe video game akafuata fasta kwa aibu na ndio maana station zote zinazoonyesha yanayotokea vitani zinafungwa wabaki wenyewe watulishe matango pori
View attachment 2137758