Ndege moja ATCL kwa safari za Arusha-Dar ni sababu zilizopo hazitoshi?

Ndege moja ATCL kwa safari za Arusha-Dar ni sababu zilizopo hazitoshi?

Hassanjk

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
333
Reaction score
689
Hivi ni kweli kuwa Airtanzania hawana ndege?

Kiasi kwamba wanaweka kandege kamoja tu Arusha to Dar hata siku busy kama Ijumaa?
 
Demand ndogo wakati, Precision Air inajaza ndege tatu kila siku (tena bei juu)
hapo sijataja Coastal, flight link na wengine
mfano; Tafuta ndege ya kutoka Arusha to dar ijumaa hii ya tar 23 au inayo fuata, utapata majibu
Sahihi kabisa waongeze ndege kwa route ya arusha dar
Kingine wafanye uwezekano wa route ya arusha nairobi
 
Inawezekana gharama ya uendeshaji ni kubwa
Ikaja ndege ya Bei poa kama zile za Ulaya na kucharge shs 100,000 Inaweza kupata faida mara tatu ya sasa na pia kukuza ajira sababu ya shift za wafanyakazi zinatongeza; halafu ATC wataanza kulalamika wanakosa Abiria ambapo kimtazamo wanakosa tayari hata sasa....
 
Inawezekana, ingawa kwa mtazamo wangu inawezekana gharama ya matengenezo inatumia dola huku chombo chenyewe kikiwa hakizalishi dola​
 
Back
Top Bottom