Ndege unanunua cash money, watumishi wa umma na wakulima unawakopa

Ndege unanunua cash money, watumishi wa umma na wakulima unawakopa

Ameimaliza CCM yetu. Chama chetu kilikuwa ni chama cha wakulima na Wafanyakazi.
 
Wasalaam.

Nimefatilia kampeni za mgombea urais wa CCM ambae ndio rais anaemaliza muda wake. Katika kila mkutano amekua akiimba pambio kwamba amenunua midege 11 tena kwa cash na sio mkopo kwangu ni jambo jema.

Kinachonisikitisha ambacho naamini kinawasikitisha wengi ni jinsi serikali hii ya wanyonge ilivyowakopa na kuwadhulumu wakulima wa pamba, korosho na tumbaku.
Inasikitisha jinsi ilivyowakopa wafanyakazi wa umma stahiki zao km;
1.likizo
2.uhamisho
3.eScott
4.kupanda madaraja
5.mafao kwa wastaafu n.k

Hitimisho: kama serikali hii ina pesa na ni tajiri kulikua na sababu zipi za kutesa wananchi wako kwa kuwakopa visenti na kununua midege na kujenga uwanja chato kwa mabilioni ya pesa?
Ova.

Maendeleo yana vyama
Bila kusahau wizi wa hela za tetemeko la Kagera , unanua ndege huku raia wanataabika kwenye mahitaji yao muhimu ?
IMG_20200831_133747.jpg
IMG_20200830_174520.jpg
Screenshot_20200817-210648.png
IMG_20200808_185050.jpg
IMG_20200809_184321.jpg
 
Wasalaam.

Nimefatilia kampeni za mgombea urais wa CCM ambae ndio rais anaemaliza muda wake. Katika kila mkutano amekua akiimba pambio kwamba amenunua midege 11 tena kwa cash na sio mkopo kwangu ni jambo jema.

Kinachonisikitisha ambacho naamini kinawasikitisha wengi ni jinsi serikali hii ya wanyonge ilivyowakopa na kuwadhulumu wakulima wa pamba, korosho na tumbaku.
Inasikitisha jinsi ilivyowakopa wafanyakazi wa umma stahiki zao km;
1.likizo
2.uhamisho
3.eScott
4.kupanda madaraja
5.mafao kwa wastaafu n.k

Hitimisho: kama serikali hii ina pesa na ni tajiri kulikua na sababu zipi za kutesa wananchi wako kwa kuwakopa visenti na kununua midege na kujenga uwanja chato kwa mabilioni ya pesa?
Ova.

Maendeleo yana vyama
Kulikuwa na sababu gani kukwapia rambirambi ya Wahanga wa Tetemeko kule Mkoani Kagera??
Kulikuwa kuna sababu gani kuwapora fedha zao Wamiliki wa Bureau de Change?? Maswali ni mengi sana Mkuu.
 
Jibu hoja ya mtia hoja hapo juu. Usitoe hoja za jumlajumla. Ni bora kukaa kimya kuliko kushabikia upande bila hoja kama vile ni timu ya mpira.
Mtaongea sana ila upinzan mmejiua wenyewe
 
Back
Top Bottom