Ndege unanunua cash money, watumishi wa umma na wakulima unawakopa

Ameimaliza CCM yetu. Chama chetu kilikuwa ni chama cha wakulima na Wafanyakazi.
 
Bila kusahau wizi wa hela za tetemeko la Kagera , unanua ndege huku raia wanataabika kwenye mahitaji yao muhimu ?
 
Kulikuwa na sababu gani kukwapia rambirambi ya Wahanga wa Tetemeko kule Mkoani Kagera??
Kulikuwa kuna sababu gani kuwapora fedha zao Wamiliki wa Bureau de Change?? Maswali ni mengi sana Mkuu.
 
Jibu hoja ya mtia hoja hapo juu. Usitoe hoja za jumlajumla. Ni bora kukaa kimya kuliko kushabikia upande bila hoja kama vile ni timu ya mpira.
Mtaongea sana ila upinzan mmejiua wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…