Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndege-vita za Israel aina ya F-15,F-16 na F-35 zimeungana na dege la kimarekani Mama wa madege yote B-52 kufanya mazoezi ya pamoja tayari kwa tukio ambalo linategemewa kufanyika hivi karibuni.
Hapo umeona kuna sentesi inasema kuhamishwa wapalestina?Siungi mkono kabisa suala hili la kuwahamisha kwa nguvu Watu wa Palestina ili waihame nchi yao ya kuzaliwa. Siungi mkono jambo hili kwa sababu siyo Haki hata kidogo.
Ni kweli kabisa kwamba Wapalestina Wanayo Haki ya kuhama kutoka katika eneo hilo, lakini kuhama huko ni lazima liwe suala la hiyari lakini siyo kulazimishwa kwa nguvu.
Hii haikubaliki Kamwe!
Hapo umeona kuna sentesi inasema kuhamishwa wapalestina?
Nyuma ya keyboard?Siungi mkono kabisa suala hili la kuwahamisha kwa nguvu Watu wa Palestina ili waihame nchi yao ya kuzaliwa. Siungi mkono jambo hili kwa sababu siyo Haki hata kidogo.
Ni kweli kabisa kwamba Wapalestina Wanayo Haki ya kuhama kutoka katika eneo hilo, lakini kuhama huko ni lazima liwe suala la hiyari lakini siyo kulazimishwa kwa nguvu.
Hii haikubaliki Kamwe!
Kitu nimekuja kugundua jua lishazama ni kwamba hakuna kitu kama sheria za kimataifa bali tu mwenye nguvu atafanya kile kinachompendeza.Unafikiri hatujui kinachoendelea huko?
Kwa Nini wafanye mazoezi ya kijeshi katika anga la nchi ya ugenini bila ruhusa kutoka kwa mwenyeji wao Palestina? Wewe huoni kwamba Kitendo kama hicho ni uvamizi wa kijeshi kwa mujibu wa Sheria za Kimataifa?
Waache wauwane hukumu ataitoa mungu mwenyeziSiungi mkono kabisa suala hili la kuwahamisha kwa nguvu Watu wa Palestina ili waihame nchi yao ya kuzaliwa. Siungi mkono jambo hili kwa sababu siyo Haki hata kidogo.
Ni kweli kabisa kwamba Wapalestina Wanayo Haki ya kuhama kutoka katika eneo hilo, lakini kuhama huko ni lazima liwe suala la hiyari lakini siyo kulazimishwa kwa nguvu.
Hii haikubaliki Kamwe!
Kitu nimekuja kugundua jua lishazama ni kwamba hakuna kitu kama sheria za kimataifa bali tu mwenye nguvu atafanya kile kinachompendeza.
Kuna muda tulikuwa tunapangwa kwamba Marekani sio tu rais mwenye nguvu bali ni mfumo kwa ujumla wake lakini mwenendo wa Trump mpaka sasa(japo bado anayofanya yako ndani ya mamlaka yake napata wasi wasi)unanipa mashaka na hivi vitu sijui sheria au taratibu.(Labda zipo tu vitabuni au ni kwa wanyonge tu,just imagine ile mipango ya Trump kujitoa UN ikibarikiwa na watu wake hizo sheria za kimataifa zitatoka wapi?The US will no longer be condemned by the UN agencies)
Yeah Korea kaskazini hayupo but guess what! hana impact kubwa bado ni bwana mdogo anaweza asiwe chini ya UN lakini hawezi kukiuka taratibu zao kizembe bila kuonja joto la jiwe.Lakini Nchi yoyote ile ina Haki za kuweza kujitoa kutoka UN. Mathalani, Korea ya Kaskazini haipo chini ya UN
mbona Gaza pondwa pondwaMikwala mbuzi
Naamini hujui kinachoendelea Unahisi tu vitu ambavyo havipo kabisa!! Kwa taarifa yako tu mazoezi hayo ni kwa ajili ya Wahouth na Bwana wao Iran. B- 52 haliwezi likashughulika kupiga kupiga (Marehemu) Gaza ambayo tayari inapumlia mashine. Kwa hiyo Ondoa wasiwasi hao unaowaita wewe Wapalestina siku zao zinahesabika Israe bado inahitaji watu wake 59 waliotekwa na magaidi hao. Nimekushangaa sana unasema Gaza ni nchi ya ugenini!! Toka lini Gaza au Palestina ikawa nchi? Hizo sheria za kimataifa zipi hizo?Unafikiri hatujui kinachoendelea huko?
Kwa Nini wafanye mazoezi ya kijeshi katika anga la nchi ya ugenini bila ruhusa kutoka kwa mwenyeji wao Palestina? Wewe huoni kwamba Kitendo kama hicho ni uvamizi wa kijeshi kwa mujibu wa Sheria za Kimataifa?