Ndege vita za Israel na Marekani zinapiga jalamba kujiandaa kwa tukio muhimu

Ndege vita za Israel na Marekani zinapiga jalamba kujiandaa kwa tukio muhimu

Haya ni mazoezi Kwaajili ya Iran Tu kwasababu Hadi mwezi iliyopita Iran iliweza kurutubisha Zaidi nuclear Kwa kiwango cha hatari ya kuzalisha mabomu ya nuclear
 
Unafikiri hatujui kinachoendelea huko?
Kwa Nini wafanye mazoezi ya kijeshi katika anga la nchi ya ugenini bila ruhusa kutoka kwa mwenyeji wao Palestina? Wewe huoni kwamba Kitendo kama hicho ni uvamizi wa kijeshi kwa mujibu wa Sheria za Kimataifa?
Hakuna haja ya kuua nzi kwa kifaru. Maoni yangu ni kuwa kama ni zoezi la kushambulia mahala, basi mlengwa ni Iran
 
Siungi mkono kabisa suala hili la kuwahamisha kwa nguvu Watu wa Palestina ili waihame nchi yao ya kuzaliwa. Siungi mkono jambo hili kwa sababu siyo Haki hata kidogo.

Ni kweli kabisa kwamba Wapalestina Wanayo Haki ya kuhama kutoka katika eneo hilo, lakini kuhama huko ni lazima liwe suala la hiyari lakini siyo kulazimishwa kwa nguvu.
Hii haikubaliki Kamwe!
vipi kuhusu wamasai wa Ngorongoro?
 
Sehemu yenyewe gaza hata mji wa mwanza mkubwa alafu unaleta madege hayo utazani eneo ni kama urusi.
Jidanganye, ulitaka aue wote Gaza hapo. Wakati wa vita HAMAS hawavai uniform wanakuwa raia, mapigano yakisimama wanavaa uniform kukabidhi mateka. Huu si wendawazimu. Unapigana na mtu hujui raia au mwanajeshi.

Akina Sinwar wamepatikana kwasababu ya tracking ya DNA.
 
Siungi mkono kabisa suala hili la kuwahamisha kwa nguvu Watu wa Palestina ili waihame nchi yao ya kuzaliwa. Siungi mkono jambo hili kwa sababu siyo Haki hata kidogo.

Ni kweli kabisa kwamba Wapalestina Wanayo Haki ya kuhama kutoka katika eneo hilo, lakini kuhama huko ni lazima liwe suala la hiyari lakini siyo kulazimishwa kwa nguvu.
Hii haikubaliki Kamwe!
Ndio wanahamishwa kinguvu sasa. Tukitoka kuwahamisha wapalestine tutakuja kukuhamisha wewe kuzoka hapo kwa dada yako ili umuachie nafasi shemeji na wajomba zako waishi kwa amani kwenye nyumba yao.🤣🤣🤣

Tutakutoa hapo kwa dada yako na kukuleta huku Ipinda uje kufanya vibarua. 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom