Hapo wakristo mnapendaaa,nyie suala la kuuliwa watu wa Gaza au warabu kwenu ni furahaa kubwaa, dini hizi!Ndege-vita za Israel aina ya F-15,F-16 na F-35 zimeungana na dege la kimarekani Mama wa madege yote B-52 kufanya mazoezi ya pamoja tayari kwa tukio ambalo linategemewa kufanyika hivi karibuni.
Hakuna haja ya kuua nzi kwa kifaru. Maoni yangu ni kuwa kama ni zoezi la kushambulia mahala, basi mlengwa ni IranUnafikiri hatujui kinachoendelea huko?
Kwa Nini wafanye mazoezi ya kijeshi katika anga la nchi ya ugenini bila ruhusa kutoka kwa mwenyeji wao Palestina? Wewe huoni kwamba Kitendo kama hicho ni uvamizi wa kijeshi kwa mujibu wa Sheria za Kimataifa?
vipi kuhusu wamasai wa Ngorongoro?Siungi mkono kabisa suala hili la kuwahamisha kwa nguvu Watu wa Palestina ili waihame nchi yao ya kuzaliwa. Siungi mkono jambo hili kwa sababu siyo Haki hata kidogo.
Ni kweli kabisa kwamba Wapalestina Wanayo Haki ya kuhama kutoka katika eneo hilo, lakini kuhama huko ni lazima liwe suala la hiyari lakini siyo kulazimishwa kwa nguvu.
Hii haikubaliki Kamwe!
Sehemu yenyewe gaza hata mji wa mwanza mkubwa alafu unaleta madege hayo utazani eneo ni kama urusi.Ndege-vita za Israel aina ya F-15,F-16 na F-35 zimeungana na dege la kimarekani Mama wa madege yote B-52 kufanya mazoezi ya pamoja tayari kwa tukio ambalo linategemewa kufanyika hivi karibuni.
Kamuulize Iran promise 3 imeishia wapi baada ya tukio la madege ya mayahudiMikwala mbuzi
Jidanganye, ulitaka aue wote Gaza hapo. Wakati wa vita HAMAS hawavai uniform wanakuwa raia, mapigano yakisimama wanavaa uniform kukabidhi mateka. Huu si wendawazimu. Unapigana na mtu hujui raia au mwanajeshi.Sehemu yenyewe gaza hata mji wa mwanza mkubwa alafu unaleta madege hayo utazani eneo ni kama urusi.
Ndege-vita za Israel aina ya F-15,F-16 na F-35 zimeungana na dege la kimarekani Mama wa madege yote B-52 kufanya mazoezi ya pamoja tayari kwa tukio ambalo linategemewa kufanyika hivi karibuni.
Ndege-vita za Israel aina ya F-15,F-16 na F-35 zimeungana na dege la kimarekani Mama wa madege yote B-52 kufanya mazoezi ya pamoja tayari kwa tukio ambalo linategemewa kufanyika hivi karibuni.
Ndio wanahamishwa kinguvu sasa. Tukitoka kuwahamisha wapalestine tutakuja kukuhamisha wewe kuzoka hapo kwa dada yako ili umuachie nafasi shemeji na wajomba zako waishi kwa amani kwenye nyumba yao.π€£π€£π€£Siungi mkono kabisa suala hili la kuwahamisha kwa nguvu Watu wa Palestina ili waihame nchi yao ya kuzaliwa. Siungi mkono jambo hili kwa sababu siyo Haki hata kidogo.
Ni kweli kabisa kwamba Wapalestina Wanayo Haki ya kuhama kutoka katika eneo hilo, lakini kuhama huko ni lazima liwe suala la hiyari lakini siyo kulazimishwa kwa nguvu.
Hii haikubaliki Kamwe!
Mbona sielewi hapoNi kweli kabisa kwamba Wapalestina Wanayo Haki ya kuhama kutoka katika eneo hilo, lakini kuhama huko ni lazima liwe suala la hiyari lakini siyo kulazimishwa kwa nguvu.