Africa Yangu
Member
- May 6, 2023
- 58
- 51
Karibu kwenye chapisho langu hapa nitaelezea maisha ya binadamu katika siasa, uchumi na kijamii ila nitatumia hii methali "ndege wanaofanana huruka pamoja" kama mbinu ya kifasihi katika kujielezea
Ndege wanao fanana huruka pamoja, maana ya methali hii ni kuwa kila kitu au watu wenye sifa moja huishi pamoja au huwekwa pamoja. Ndege wanaofanana itasimama kama sifa za watu au vitu fulani katika jamii na huruka pamoja, itaonyesha kuwekwa pamoja kwa vitu fulani au kuishi pamoja kwa watu wenye sifa zinazofanana katika jamii. Yafuatayo ni mambo yanayo dhihirisha watu wanaofanana kuwa hulindana katika njanja mbali mbali katika jamii:
* Katika uongozi na utendani kwenye jamii zetu, hapa tutaona kwa kuangalia pande mbili kwenye uongozi yaani uongozi wenye kufuata taratibu njema kuongoza na uongozi wa kuvunja sheria. Moja katika uongozi mbaya hapa ndipo nita elezea zaidi. Viongozi wabaya wasio na sifa njema katika uongozi wenye kukiuka katika za taasisi zao au nchi zao. Viongozi wabaya hawa lazima watachagua watu wao wabaya wa kuwalindia mabaya yao katika kuongoza kwao. Mfano kwenye taasisi kiongozi mkuu akiwa mbaya lazima awe na watu wake wa kumlinda katika mabaya yake na kuyaficha yasionekane kwenye jamii. Pia viongozi wabaya ndio huharibu taratibi zoote katika maisha ndani ya jamii kwa maana wanaathiri kila eneo muhimu ndani ya jamii. Hapa tunapata ndege wanaofanana huruka pamoja.
* Katika suala la mmomonyoko wa maadili ndani ya jamii zetu, kume kuwa na wimbi kubwa na ongezeko la matendo ya vijana wa jamii yetu kujiingiza katika masuala ya mapenzi ya jinsia moja hili ni hatari kwa taifa lenye kuhitaji nguvu kazi ya baadae. Wimbi la kuwepo kwa wapenzi wq jinsia moja limeongezeka kwa maaba tulikubali kuruka pamoja na wale wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja. Wametupa masharti yao tukakubali kwa kuficha ficha hivyo vitendo hivi vimeingia na kuathiri jamii yetu maana sio utamaduni wa mwafrika. Viongozi wetu katika jamii zetu kuanzia serikalini mpaka nyumba za ibada je nao hawashiriki mapenzi ya jinsia moja..? Jibu sina sijui wanaojua mtatupa majibu kwenye reply. Vijana watoto wanaiga kila kitu kwa kukosa muongozo sahihi katika mambo mapya kwenye jamii yetu matokei yake ndio kama haya ya mapenzi ya jinsia moja. Hii pia inadhihirisha kuwa ndege wanaofanana huruka pamoja.
* jambo linaloitwa uchawa, hili ndilo janga zaidi kwa maana inatumika nguvu kubwa kulinda mtu fulani ilimradi anaemlinda apatiwe kitu fulani. Machawa hawa ndio wana dhihirisha kauli ya ndege wanaofanan huruka pamoja, machawa wao kutetea jambo lolote la mpendwa wao au bosi wao kwao sio shida hata kama linaathiri jamii yetu pendwa kwao maslahi binafsi mbele kwanza mengine haya wahusu wao. Hapa lazima kuwa makini kwa wanajamii ili wasiendeshwe na fikra potofu za chawa yoyote kwenye nyanja yoyote ile. Machawa ndio uhalisia wa methali ya ndege wanakfanana hutuka pamoja.
* Waoihudumia jamii yetu, wanaoihudumia jamii hapa namaanisha watu wote waajiriwa na walio jiajiri, mashirika binafsi na mashirika ya kiserikali. Kivipi nao wanaingia kwenye ndege wanaofanana hutuka pamoja. Wanqoihudumia jamii yetu pendwa wao pia huhusika kulinda mabaya na mema ila mm nitajikita kumulika mabaya maana lengo ni hilo. Wapo wafanyakazi wa taasisi za ulinzi serikalini na mashirika binafsi wasio waaminifu hata kidogo hawa wao wanashirikiana na wahalifu kuiba, kudhuru na kudhulumu, kujeruhu pia kukwepesha ukweli na kuufanya kuwa uongo. Wapo walinzi wa mashirika binafsi wamechangia pakubwa kufanikisha wizi kwa kushirikiana na wezi sasa hawa ndio kabsa tunaona wanaingia kwenye methali yetu ya ndege wanaofanana huruka pamoja.
* Maudhui mengi yanayo wasilishwa na wanasanaa na vyombo vya habari pia mitandao ya kijamii, hapa napo tutaona namna jamii inavyolishwa maudhui mema na mabaya ila mimi nagusia mabaya pia hapa. Mfano zipo nyimbo zina himizq ngono, ulevi na anasq tu hizi ni hatari kwa watoto maana zina hitaji msaada wa wazazi na walezi kuelezea ukweli wa mambo katika maisha. Pia kuna maudhui mengi yanarushwa kwenye mitandao kama you tube namingineyo ambayo huadhiri maadili yetu yote haya huleta mmomonyoko wa maadili na zaidi mengine huchochea uhalifu kupitia sinema za wezi na ujambazi. Maelezo ya kuondoa sintofahamu ni muhimu saana. Maudhui mabovu huleta matokeo mabovu tunarudi pale pale kwenye ndege wanao fanana huruka pamoja.
MWISHO
Ni vyema maadili yetu yakalindwa maana jamii iliyo haribikiwa haiwezi kuwa na mpango wa mbeleni mwema hususani nguvu kazi. Hili taifa likiwa la watu wa kushiriki vitu vya hovyo haliwezi kuwa imara kwa kiwango bora kwa miaka ijayo. Ni jukumu la kila mtu, kiongozi, wazazi na walezi pia kila mtanzania kuishi kwa kufuata taratibu njema kwa mwafrika na kulinda jamii yake dhidi ya jambo lolote linaloweza kuadhiri kesho ya nchi na jamii yetu kwa ujumla.

Upvote
3