Watafupisha ziara huko ughaibuni na kurudi Dodoma kisha wanakaa siku 4 ndio wanaenda kwenye eneo la ajali kisha wanaitwa wazalendo "mitano tena"!Kwahiyo watu wakae kimya wakiona tatizo, kisha yakitokea maafa mtoke nyie mliochagua kukaa kimya kusema hayo ni mapenzi ya Mungu?!
Kwani bongo kuna engineer wa ndege?!Ya kwamba wewe ni engineer!
Msamehe basi! Sasa Nanjilinji kuna airport mkuu?Umewahi kufika airport?
Sio kweliWahandisi hukagua na ku-document kila siku kabla ya safari. Tupunguze ujuaji.
Tairi bado wanalidai halijarudisha faidaKuna utetezi mreefu uliwahi kutolewa kuhusu picha ya tairi la ndege lililokuwa na mwonekano wa kuisha. Kwa mujibu wa yule bwana anasema ati tairi lina mzunguko wake hadi kuja kuisha na katika hali ile bado anasema lilikuwa halijamaliza mzunguko wake nikabaki nimeduwaa
We mbugila kweliWabongo tupunguze ujuaji na kuongea kila jambo. Kila unaloona limekosewa? Ukipanda ndege unaongea, ukiingia ofisi ile unaongeaaaaa tooo much talk jamani
Umewahi kufika airport?
NAFIKIRI UNGEULIZA TU; UTAJUAJE KAMA TAIRI LA NDEGE LINAHITAJI KUBADILISHWAWAHUSIKA WASOME UJUMBE HUU HARAKA!
Rubani ndiyo anatoa taarifa za Technical issues za ndege au ni Mafundi waliosomea kazi hiyo?Usikute rubani alishatoa taarifa muda mrefu kuwa muda wa tairi kuruka na kutua umeisha, akajibiwa bajeti yake haijatengwa asubiri kidogo wataiandikia kutoka matumizi mengine na awe mpole asiropoke ropoke maana na yeye ataambulia ya vocha kidogo.
A wake up call should be appreciated even if you think you are on the right! Common sense is not that common!Wahandisi hukagua na ku-document kila siku kabla ya safari. Tupunguze ujuaji.
Swali la kujiuliza, tairi kama hilo lingetumika kwenye ndege inayombeba Rais wa nchi?Kuna utetezi mreefu uliwahi kutolewa kuhusu picha ya tairi la ndege lililokuwa na mwonekano wa kuisha. Kwa mujibu wa yule bwana anasema ati tairi lina mzunguko wake hadi kuja kuisha na katika hali ile bado anasema lilikuwa halijamaliza mzunguko wake nikabaki nimeduwaa
Inawezekana alifika zama za Ujamaa. Labda kipindi hicho kulikuwako na hayo "masheria".Umewahi kufika airport?
📌🔨Hutaki watoe maoni yao? Hata kama wamekosea. Hutaki kufahamu unaowapatia huduma wanauelewa gani kuhusu huduma yako?
Ofisi za umma, zinahudumia umma. Watumishi wengi wa umma ni wazembe na wavivu ndio maana hawataki wananchi watoe maoni kuhusu utendaji wenu.
Sikiliza, badilika. Sikiliza, elimisha. Mtumishi wa umma usikatae kusikiliza maoni ya wananchi.
Ukitaka kumla bata usiangalie maisha yake.WAHUSIKA WASOME UJUMBE HUU HARAKA!
✅Kwani huwa hazikaguliwi kabla hazijaruka? Au ni tatizo la kawaida.
Mimi hawa wanachokwaza watu ni kutofuata ratiba. Sio reliable kwa wiki hizi mbili wamesumbua sana.