GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
โ ๐A wake up call should be appreciated even if you think you are on the right! Common sense is not that common!
Na wasafiri nao wana akili mkuu. Inawezekana huyo anayetakiwa kufanya ukaguzi alijaza taarifa bila hata ya kukagua.Wahandisi hukagua na ku-document kila siku kabla ya safari. Tupunguze ujuaji.
Una imani na wahandisi wa bongo?Wahandisi hukagua na ku-document kila siku kabla ya safari. Tupunguze ujuaji.
Learn to differentiate wake-up call from much-knowing.A wake up call should be appreciated even if you think you are on the right! Common sense is not that common!
Ndege leo imeondoka Kilimanjaro kwenda Dar es Salaam 06:55 AM uzi umeletwa alfajiri. Hamwezi hata kujiongeza!!?Na wasafiri nao wana akili mkuu. Inawezekana huyo anayetakiwa kufanya ukaguzi alijaza taarifa bila hata ya kukagua.
Haha... Nimeshangaa sanaInawezekana alifika zama za Ujamaa. Labda kipindi hicho kulikuwako na hayo "masheria".
Hilo dege mama yenu alikua nalo dubei wiki nzima,kutofuata ratiba. Sio reliable kwa wiki hizi mbili wamesumbua
Da!!! Hapo nimeelewa.Hilo dege mama yenu alikua nalo dubei wiki nzima,
ratiba kwanini isiharibike?
Ukiona ratiba inaenda sawa ujue kasharudi huyo.
Waandisi labda wa kizaz hiki ila cha zamani walikuwa vizuri sanaUna imani na wahandisi wa bongo?
Yah halafu nalo linaleta mbwembwe za kuwa kipara wanaliburuza hivyo hivyo.Tairi bado wanalidai halijarudisha faida
Sasa umesema asante sana thenAhsante sana